Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Na Mwandishi Wetu, Manyara Zaidi ya kaya 2,000 zenye uhitaji maalum mkoani Manyara zinatarajiwa kunufaika na msaada wa vyakula unaotolewa na Mati Foundation, ikiwa ni sehemu ya mpango wa kampuni...
1 Reactions
2 Replies
144 Views
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ametoa ufafanuzi kuhusu changamoto ya maji iliyopo kwa Wakazi wa Kijiji za Baraki, Kata ya Baraki Wilaya ya Rorya Mkoani Mara baada ya kipande cha video kusambaa...
1 Reactions
3 Replies
263 Views
Mwaka jana niliandika uzi hapo chini https://www.jamiiforums.com/threads/nimeishi-na-mwanamke-miaka-mitatu-bila-kupata-mtoto-nifanyaje.2376687/ Japokua msaada sikuupata kutokana na mtu wa hapa...
6 Reactions
47 Replies
807 Views
Shule nyingi za msingi za serikali siku hizi zimejaa michango mingi sana ambayo inaleta matabaka kwa watoto! Walimu wanachangisha hela ya mitihani kila siku 1000. Ndoo mpya kila term, Fagio jipya...
5 Reactions
65 Replies
3K Views
Madereva kadhaa wa Bolt walifanya maandamano hadi makao makuu ya kampuni hiyo yaliyopo Kinondoni, Dar es Salaam, siku ya Jumatatu, Februari 2, 2026, kupinga tozo kubwa na ongezeko la punguzo kwa...
9 Reactions
95 Replies
2K Views
Anonymous
Mwendokasi wa Malori ya mchanga na kokoto imekuwa ni kero kwa barabara ya mji mwema kuelekea dege/kimbiji ajari zimekuwa ni kawaida kupinduka, kugonga magari madogo au pikipiki na hata kusabisha...
0 Reactions
0 Replies
150 Views
PASSPORT NINI Ni hati rasmi ya kusafiria inayotolewa na serikali ya nchi, ambayo hutumika kuthibitisha utambulisho na uraia wa mtu, ikimruhusu kusafiri kimataifa na kuingia/kurudi nchini kwake...
7 Reactions
34 Replies
1K Views
Sasa wewe endelea kuchagua makalio na sura nzuri badala ya akili
10 Reactions
102 Replies
1K Views
Baada ya ufanisi mkubwa wa biashara kwa mwaka 2025 uliochangia kupata faida ya zaidi ya shilingi trilioni 1.04, Benki ya CRDB leo imezindua kampeni yake ya mwaka 2026 inayoitwa ‘Benki Kimpango...
2 Reactions
4 Replies
375 Views
Anonymous
Ni baada ya polisi kuanza doria usiku imesababisha raia hasa wale wanaochelewa kurudi majumbani kwa sababi kadhaa wakikutana na polisi wanachezea kichapo kwanza ndo kisha kuhojiwa. Hii imepeleka...
1 Reactions
2 Replies
246 Views
Kwa Sasa kwenye mitandao ya kijamii duniani kote, kuna mabishano makubwa sana juu ya uhalali wa kutumia Hadithi kuuhimilisha Uislamu. Lipo kundi linalosema kuwa Hadithi zimejaza tamaduni za...
7 Reactions
193 Replies
2K Views
  • Redirect
1 Reactions
– Replies
– Views
Miezi ya Juzi kati nilikuja na chapisho la jinsi Waafrika waliokuwa wanaimba kwa Kiswahili walivyokuwa wanadhiakiwa kwa lugha ya Kirusi kwamba hawa ni takataka tu (Disposable) na wanaenda kuwekwa...
1 Reactions
8 Replies
275 Views
Mkurugenzi wa Idara ya Tiba Zanzibar, Dkt. Msafiri Marijani (wa pili kushoto), akizungumza wakati wa uzinduzi rasmi wa Kambi ya Huduma za Afya iliyoandaliwa na Vodacom Tanzania Foundation, yenye...
0 Reactions
1 Replies
222 Views
Nimekutana na matokeo haya ya mikoa, ya kwanza ni kwa ufaulu wa division 1 hadi 3, ya pili ni division 1 hadi 4, Matokeo nayoamini yanaonyesha ufaulu wa uhakika ni division 1 hadi 3. 1. Division...
9 Reactions
72 Replies
1K Views
Nigger mtu mweusi akijua kitu yani hizo mbwembwe na swagger mtaani utakoma. Hapo chini kwenye Video jamaa kujua kuoperate drone kabadilisha hadi pozi. Yani hata walioziunda huko China hawana hizi...
4 Reactions
10 Replies
229 Views
Sijui ni Mitandao ya kijamii ndo imekuwa chanzo....wanaume wanazidi kuwa Wambea kuliko hata wanawake Siku hizi ukienda kwenye misiba ama mikusanyiko huwezi koswa kundi la wanaume sita ama tisa...
4 Reactions
9 Replies
220 Views
Najaribu kuperuzi wavuti wa BBC Swahili ila siwezi kuufikia, Nimejaribu mara kadhaa bila mafanikio ila baada ya kutumia vpn nimeweza kuufikia. Swali kwa TCRA: Je mmefungia baada ya repoti ya BBC...
10 Reactions
26 Replies
797 Views
DeletedMember281674
Kwa hichi kinachoendelea katika Radio ya Wasafi FM, nawashauri muweze kufunga tu moja Kwa moja hii redio. Haiwezekani Asubuhi watu tumeamka tunawasha radio zetu, ili tupate habari mbalimbali...
4 Reactions
21 Replies
729 Views
Mara Kimewaka, mara kimenuka Mara àmlipua fulani Mara ya.... kufa mtu Mara..... kufuru Uandishi gani huu wa maneno ya kijiweni, ya kihuni
4 Reactions
6 Replies
172 Views
Back
Top Bottom