Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

HIVI OC-CID MAFWELE NI NANI? WENYE DATA ZIMWAGENI HAPA Kwa mtu ambaye ni mkazi wa jiji la Arusha na viunga vyake nadhani atakuwa anamjua vizuri mkuu wa upelelezi wilaya ya Arusha,OC-CID Faustine...
34 Reactions
175 Replies
34K Views
Kuna kuchunguza na kugundua tunakwamishwa na nini(koboresha na kurekebisha hali hiyo), na kunakuaanza upya(mchakato wa katiba mpya) Kuanza upya(mchakato wa katiba mpya) sio suruhisho la vikwazo...
2 Reactions
12 Replies
224 Views
KIJANA ANASWA AKIBA SADAKA KANISANI KWA KUTUMIA GUNDI KWENYE KIJITI JIJINI NAIROBI Mtaa wa Githurai 45 ulijaa kicheko na mshangao baada ya kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la ‘Kevo’ kunaswa...
3 Reactions
27 Replies
488 Views
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limemkamata na linamshikilia Selemani Haruna maarufu Kwata (24), Mkazi wa Kimara Temboni mtaa wa Amani, kwa tuhuma za kumuua Editha Charles (22)...
19 Reactions
115 Replies
10K Views
Waziri Mkuu wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewatahadharisha Watanzania juu ya ukopeshaji wa fedha usio rasmi, maarufu kama "Kausha Damu," akitaja kuwa ni mfumo wa kinyonyaji unaowadumaza...
1 Reactions
4 Replies
378 Views
Anonymous
Barabara ya mbamba-bay to Liuli/Kiagara(apo ni Lipingo) kipande cha km mbili na pointi ni miaka mingi sasa bado ni sehemu korofi sana wakati wa mvua
1 Reactions
7 Replies
249 Views
Katika zama hizi hamasa ya kutoa elimu juu ya maradhi/gonjwa hatari la ukimwi haitolewi mashuleni. Jambo hili linapelekea watoto kushindwa kujiepusha na njia hatarishi za maambukizi ya ukimwi...
2 Reactions
4 Replies
202 Views
Hii kampuni ilikuwa ya kwanza kuingia tanzania Baada ya muda wakaja bolt lakini kabla ya hapo ilisemekana wameweka maagizo akiruhusiwa mwingine wanaondoka Hata hivyo inaonekana mawazo yao...
3 Reactions
6 Replies
264 Views
Rais wa Kosovo ambaye ni muislamu kaudhalilisha uislam kwa kutovaa ushungi ama hijab. Hii haileti picha nzuri kwenye umma wa uislam na mafundisho ya kiislamu. Ikumbukwe Kosovo, Bosnia na Albania...
4 Reactions
27 Replies
458 Views
Niaje? Mtaani Hali kugumu deile kila kukicha unasema afdhali ya Jana wapambanaji tusichoke kupambana life ni gumu balaa, wana ndo tunasota nao tukipeana mahope siku Moja tukatoka tu🙏😔naamini Hilo...
3 Reactions
6 Replies
600 Views
Wakuu, Leo nimenunua maandazi na karatasi/kifungashio nilipewa ni form ya mtu aliyeenda polisi kutoa taarifa ya kupotelewa kitu, maarufu kama Loss Report. Ambapo muhusika alienda kuripoti...
16 Reactions
57 Replies
1K Views
Eti, "Nyeto ndo imekufanya upungukiwe na nguvu za kiume", by Dr Ndodi. "Nilikuchiti kwa sababu shetani kanipitia", by my wife Lucha. "Hakuna watu waliouawa tarehe 29 October 2025, ile ni AI"...
12 Reactions
43 Replies
772 Views
Kwa wanaome wanaopigwa na wake au wapenzi wao. Nini kinatokea mpaka mpaka mwanamke anakuwa na mamlaka ya kutoa kichapo? Mwanaume anakula mpole sana, hana nguvu wala uwezo wa kuhimili piga nikupige...
3 Reactions
7 Replies
215 Views
Baadhi ya makundi ya Kikristo na madhehebu kadhaa yanadaiwa kuwa yaliundwa au kuathiriwa na Wamasuni (Freemasons) na Illuminati. Kupitia hilo, inasemekana waliweza kujumuika ndani ya Ukristo huku...
7 Reactions
25 Replies
655 Views
JFs Members uzima upo? Nisiwachoshe niende Moja kwa Moja kwenye hoja. Safari ya chuo kuelekea mtaani inaanza tu pale graduation inapoisha Hii naongelea experience yangu Nilipongenzwa kwa...
10 Reactions
71 Replies
1K Views
Ni nchi gani duniani ambayo maendeleo yake yanahusishwa moja kwa Moja na ufuasi wa dini fulani? Nchi ambayo tunaweza kusema pasina shaka kuwa, kutokana na wao kufuata dini fulani ndiyo maana...
6 Reactions
35 Replies
611 Views
Kila siku najiuliza nini hawa warabu wanachokitafuta maana kila siku waonikuchinja makondoo mimbuzi, wana agenda gani, maana sahivi kinamama huwakosi kwenye haya machinjo unakuta kuanzia asbh...
6 Reactions
50 Replies
949 Views
Yuko wapi ? Je bado ni mbunge ? Imebidi kuomba kumfahamu zaidi , maana tetesi zinaonyesha kwamba kuna ndugu yake alidakwa na sembe pale AIRPORT , je yeye mwenyewe hakuhusika ? Elimu yake sina haja...
1 Reactions
46 Replies
12K Views
Watu wana mioyo migumu jamani; unaiba ambulance aisee ya kuwasaidia wagonjwa, hataree sanaa. Gari iliyoibiwa Tarime ya ambulance imekutwa katika hatua za mwisho za kubadilishwa kwenda mwonekano...
1 Reactions
13 Replies
446 Views
Yesu akajibu: "Ni kwamba mtu ambaye hataiamini kweli kwa wokovu wake anapaswa kuamini uwongo kwa laana yake. Kwa hiyo nawaambia, kwamba ulimwengu umewahi kuwadharau manabii wa kweli na kuwapenda...
1 Reactions
24 Replies
524 Views
Back
Top Bottom