Mimi ni mkazi wa Wilaya ya Bukoba, Kata ya Kemondo, Kijiji cha Kanazi. Kero yangu inamhusu Mwenyekiti wa Kitongoji cha Butaganjana.
Mwenyekiti huyo amejitungia sheria zake binafsi kwa...
Mimi ni mzaliwa wa Kilimanjaro ila mkazi wa Tabata – Kimanga, Dar es Salaa. Kwanza ya yote nawashukuruni sana sana JamiiForums kwa kazi nzuri mnayoifanya kwa kutusaidia kutatua kero mbalimbali...
Mimi ni Mwananchi wa Wilaya ya Mbeya Vijijini nina kero ambayo inatutesa sana Wananchi wa Wilaya hii.
Kero kubwa iliyopo kati ya kero zingine ni ubovu wa Barabara ya kutokea Mbalizi hadi Iwiji...
Nauli za Bajaj jijini Mwanza imekuwa tatizo hususani majira ya usiku, kutoka Mjini hadi Nyegezi Stand kwa Bajaji zenye route ya Buhongwa to Mwanza Mjini, madereva wanajipangia nauli kiholela...
Picha: Akili Mnemba
Licha ya sharia na kanuni za mazingira na biashara ya mafuta kuweka utaratibu wa ujenzi wa vituo vya mafuta, kumekuwa na ujenzi holela wa vituo vya mafuta hususani kwa jiji la...
Unabii huu unaupata kwenye kitabu Cha UFUNUO 9.
1 Malaika wa tano akapiga baragumu, nikaona nyota iliyotoka mbinguni, imeanguka juu ya nchi; naye akapewa ufunguo wa shimo la kuzimu.
2...
“Kama wewe ni Mwana wa Mungu, jitupie chini; kwa maana imeandikwa: ‘Atawaamuru malaika zake wakulinde,’ na ‘Watakuchukua mikononi mwao, ili mguu wako usije ukagonga jiwe.’”
(Mathayo 4:6)
Mashahidi...
Nina rafiki yangu ambaye mtoto wake anasoma Shule ya Sekondari Kisungu iliyopo Kinyerezi Dar es salaam. Alikuja kwangu kuniuliza iwapo kwenye saiti yangu nimebakiza walau tofali 20. Nilimuuliza...
Siku za hivi karibuni inapofika majira ya Saa Tatu na Usiku niligombana na kondakta wa daladala wakati natoka Kawe kwenda Segerea, alidai nauli ni ni Sjilingi 1,000 badala ya Shilingi 800, akisema...
of course,
ugumu wa mazingira unaweza kumfanya mtu kuwa na akili zaidi(ufahamu wa kina,ustahimilivu na uwezo wa kutatua matatizo,
mazingira magumu hulazimisha ubongo kufikiri nje ya boksi.
Fahamu kitambi, maana yake,na sababh zake
Kitambi hutokea kwa sababu mbili tu
1.Kula chakula kisicho kadiri yako Yani kula chako,Cha watoto,Cha mkeo na Cha jamii Yako matokeo yake ni kitambi...
Source: Gazeti la mwananchi (Mwananchi Read News)
Mkuu wa wilaya aamuru polisi kucharaza bakora walimu 32
* Ni kutokana na matokeo mabaya ya mtihani darasa la saba
Lilian Lugakingira, Bukoba...
Kuna baadhi ya vitu vinapita katikati ya Dini na upagani na vinamilikiwa pande zote.
Mwizi au fisadi hata awe na mamillioni mangapi maisha yake yanautofauti mkubwa na mtu mwaminifu anaejitambua...
Wanabodi
Japo hili ni Jukwaa la Siasa,hii ni mada ya kisiasa kisheria,hivyo naomba
nianze kwa kujijitambulishe tena na tena, kuwa japo mimi Paskali Mayalla, ni mwandishi tuu wa habari wa...
Dar es Salaam — Kampuni ya Mati Super Brands Ltd kupitia kinywaji chake cha kifahari cha Tanzanite Royal Gin imezindua rasmi kampeni maalum ya msimu wa Siku ya Wapendanao (Valentine’s Day)...
Napata shida kuwaelewa watu au ni chuki tu kwa hawa wachaga au nini utakuta mtu anasema au anadiriki kuzungumza kwamba wachaga ni wabinafsi na wachoyo wanapendeleana wao kwa wao how kivipi...
HIFADHI ya Wanyamapori ya Wamimbiki, mkoani Morogoro, iwashikilia watu wanne wakiwa na gari la serikali lenye namba STJ 9587, kwa tuhuma za kutumiwa katika shughuli za ujangili.
Watu hao...
Manyara — Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Mhe. Queen Cuthbert Sendiga, amewataka wanawake wakiwemo viongozi kutambua na kuheshimu nafasi zao ndani ya ndoa, akisisitiza kuwa mwanamke kufahamu haki zake...
Nilisikia kwenye Chombo cha Habari kuwa; Kwa sheria ya ndoa ya Tanzania, baba ndio anatoa hela za kila kitu kwenye Familia na hela ya Mke haihusu familia......
1. Baba ana wajibu wa kulea na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.