Vibinti vidogo umri chini ya miaka 17, wamekuwa wakirubuniwa na baadhi ya wafanyabiashara waliopo mpakani mwa Kenya na Tanzania na kwenda kuuza Bar.
Maeneo haswa yanayotajwa kushamiri kuwa na...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM- TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe ameridhishwa na hatua iliyofikiwa ya maandalizi ya ufunguzi Soko Kuu la Kariakoo...
Akizindua soko kuu jipya la Karikoo leo, Februari 8, 2026, Rais Samia Suluhu Hassan amewahimiza wasimamizi wa soko hilo kuhakikisha suala la usafi linazingatiwa ipasavyo, ikiwemo miundombinu ya...
Russian gold reserves break record
The country’s bullion holdings were valued at $402.7 billion as of early February
The value of Russia’s gold reserves has reached an all-time high, exceeding...
Amrisho la dini la wanawake wote duniani kuvaa hijabu, niqab au burqa kwa minajili ya stara lina walakini mkubwa sana kwa sababu halizingatii muktadha wa maumbile na tamaduni za jamii tofauti za...
Hawa wa kawaida wanapitia misukosuko mingi inawasiligi hata ukuaji wao kichwa kinapovutwa vutwa
Wale wa operesheni wanatolewa wanaweka pembeni mdo mana wanakuaga na akili
Waandishi wa Quran walikuwa ni wa kina nani na baada ya uandishi wake kukamilika nani walioithibitisha kwamba maudhui yake ndio Yale yale yaliyotoka kwenye kinywa cha Muhammad bila kupotoshwa au...
1. Usile wanga
2. Usioe single mother
3. Unaweza anza biashara bila hata mtaji
4. Usioe asiye bikra
5. Usioe mwanamke mwenye miaka 30+
6. Usipeleke mtoto A - level.. mpeleke chuo.
ONGEZEA ZINGINE
CC: Mshana Jr
TUFUNDISHE ZAIDI
Wimbi la mafunzo yanayoitwa ya "asili" yakilenga wanawake, Kwa kutumia maneno kama Yoni Healing, Womb Health, au Kundalini. Ingawa yanaonekana kama ni mazoezi ya...
Eti tumetenga billion 2 za content creators , ikumbukwe kwamba hata mo 29 maandamano yalichochewa mtandaoni kwa kiasi kikubwa hasa tiktok, fb na instragram.
Paul Makonda kawekwa pale kimkajati...
Ndugu zangu natumaini mko salama kabisa ,hongera na poleni kwa kazi zenu za Kila siku .
Napenda wajuzi mnifahamishe inapotokea mtumishi aliyeteuliwa akatolewa na kuweka mwingine unakuta anaambiwa...
I hope uko poa mdau wa jamiiforms,Baadhi ya Viongozi waliobalikiwa akili nyingi za kiutambuzi wamekua wakitusanua sana sisi watanzania juu ya mambo mbalimbali .
Mfano ukifuatilia ziara za...
Kama kichwa Cha habari kinavyo SEMA,pia nimewakumbuka sana ndugu zangu w kina jinuni wanawasalimia sana wakina maimuna na sharifu.
Nambie una jambo gani linalo kutatiza nikusaidie mara Moja🙏🏽
Habari za Jumapili zinaendaje wakuu, natumaini wengine mpo kanisani, basi Jana bwana Yas Tanzania walikuwa wanatimiza Mwaka mmoja Toka watambulishe jina jipya basi bwana wakawa wana zawadi zao...
Haya ni useless, rubbish, zero service to the people. Yanamilikiwa na watu binafsi. Yapo mengi ongeza
1. TMA
2. TTCL
3. IKULU
4.JWTZ
5. POLISI
6. INEC,
7. Takukuru,
8. ofisi ya msajili wa vyama...
Kuna upuzi unaendelea kwenye ubinadamu. Na nispochukua hatua za haraka na za maksudi humanity will be doomed.
Binadamu amekuwa kiumbe wa hovyo mbinafsi na mchoyo.
Kuna baadhi ya binadamu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.