Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

KWANINI WASICHANA WENGI WANAFIKIA UMRI WA MIAKA 30 WAKIWA HAWAJAOLEWA NA WAKIWA “UNBOTHERED” UCHAMBUZI MPANA WA SABABU 10, ATHARI ZAKE KWA WANAWAKE, WATOTO NA CHANGAMOTO KWA WANAUME Katika jamii...
12 Reactions
24 Replies
1K Views
John 14: 12. “Amin, amin, nawaambia, Yeye aniaminiye mimi, kazi nizifanyazo mimi, yeye naye atazifanya; naam, na kazi kubwa kuliko hizo atazifanya, kwa sababu mimi naenda kwa Baba.” Mtu hajawahi...
4 Reactions
20 Replies
266 Views
Zile za chupa ukinywa tano Tu unakua umechangamka BALAA, ila hizi Takeaway kama sizielewi hivi, nmekunywa carton nzima lakini nahisi kama nakunywa apple punch Oya Acheni hizo basi wazeee Hivi...
12 Reactions
88 Replies
2K Views
Ni imam mkuu wa dhehebu la Shia hapa Tanzania. Anaitwa Hemed Jalala. Anakubali kashfa zote ambazo masuni wanawatuhumu mashia. Lakini naye akifungulia vitabu vya masuni, wanajawa uchungu maana kwa...
1 Reactions
13 Replies
685 Views
Huo ndio ukweli...najua kuna raia mtakuja kuniattack na kusema mapenzi hayana umri. shame on you!!
10 Reactions
139 Replies
2K Views
wanawake mnataka nini kwenye ndoa ili mtulie?? sahii ungekuta ndugu wa jamaa wanandaa utaratibu wa mazishi.
6 Reactions
45 Replies
602 Views
#onemediaupdates🇹🇿 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni...
1 Reactions
3 Replies
212 Views
Katika wiki za hivi karibuni, Marekani imeonekana kama mahali ambapo taasisi za dola zinazotumia nguvu—kama ICE (Immigration and Customs Enforcement)—zinapoanza kutenda kwa ukali usio na uwazi...
4 Reactions
10 Replies
444 Views
Biblia inasema kuwa inatupasa kukubali kwa imani kuwa Mungu yuko, "Na pasipo imani haiwezekani mtu kumpendeza mungu, kwa kuwa kila ajaye kwake sharti aamini kuwa yuko na ya kuwa huwapa vitu...
8 Reactions
11 Replies
195 Views
Mimi ni kijana , 25 yrs old . Unmarried Nimekuwa nikisikia mara kadhaa kwa mabro na kwenye forums za kijamii kuwa kati ya makosa makubwa unaweza kuyafanya kama mwanaume ni kuzaa na mwanamke ambaye...
6 Reactions
29 Replies
533 Views
Ni habari nzito sana kutoka Kanisa la Wasabato Nakiru kenya. Wachungaji hao wanakataa baadhi ya mafundisho ya Kanisa hilo ikiwemo Utatu Mtakatifu Holy Trinity Doctrine yaani Mungu Baba, Mungu...
3 Reactions
13 Replies
419 Views
Unaweza usiamini lakini fanya utafiti wako binafsi kimya kimya utagundua kwamba Wabongo wengi, hawana maarifa ya msingi, hawana maudhui ya kutosha na hawana uwezo mkubwa wa kufikiri kwa kina hata...
26 Reactions
48 Replies
1K Views
Ndugu wasomaji Tulisikia kwamba saivi city council ya dar es salaam saivi wanahitaji mwemye contena aende ofisi za city ku fanya advance malipo ya contena kuingia mjini na wakati kwa hali hii...
1 Reactions
2 Replies
187 Views
Anonymous (9bb1)
Mimi ni Mkazi wa Zanzibar katika Mkoa wa Mjini Magharibi, Wilaya ya Mjini. Kero yangu ni kwa Shirika la umeme Zanzibar (ZECO). Wamekuwa na muendelezo wa kukata umeme mara kwa mara maeneo ya...
2 Reactions
12 Replies
429 Views
Haijalishi kama wewe ni KE au ME, kama unafikiria kuingia kwenye mahusiano au tayari uko kwenye mahusiano na kuna vitu havieleweki au unajiuliza maswali na hupati majibu, basi habari hii...
7 Reactions
22 Replies
589 Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Award Karonga, ambaye ni kiongozi mwandamizi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kwa tuhuma za uchochezi na makosa mengine ya kijinai...
3 Reactions
5 Replies
301 Views
My people, Hii ni kwa watafutaji na wahangaikaji wote popote mlipo,endeleeni kupambana. Kwa watu ambao wana vipato vizur hawawezi kujua kwamba kuna watu ambao inabidi mida ya lunch time wakaushe...
12 Reactions
46 Replies
548 Views
Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani, Hassani Iddi Mwamweta anaongoza ujumbe wa wakulima na wafanyabiashara kutoka Tanzania unaoshiriki Maonesho ya Kimataifa ya Matunda na Mbogamboga ya Fruit...
3 Reactions
5 Replies
265 Views
Back
Top Bottom