Kimsingi kuna faida kubwa sana kumsomesha mwanao high-class school kama una uwezo. Elimu siyo kusoma vitabu na kufaulu mitihani ni mazingira, watu unaokutana nao, na mtandao utakaounda.
Embu ona...
Licha ya Serikali kupambana kupiga vita dhidi ya vitendo vya ukatili wa kijinsia lakini bado Wananchi na wakaadhi wa Kisiwa cha Mafia baadhi yao wameonekana kutia pamba masikio na kupelekea...
Kuna kitu nilikiona mwaka fulani kiliniacha na maswali mengi mpaka leo.
Kulikuwa na jamaa mmoja niliokuwa namuona karibu kila siku kwenye sehemu ile ile. Sehemu yake ilikuwa pembeni kidogo ya...
Hamjambo!
1. Watu wengi hufikiri wakisema wametoka familia maskini, basi watapata huruma au wataonekana wapambanaji au watapata uungwaji Mkono na watu.
2. Kimsingi hilo ni kosa ambalo wengi...
Habari za Mfungo wanabodi!
Unafikiri ni kwa nini unaweza kuwa maarufu mitandao mingine kama Facebook, Tiktok, Instagram, X n.km lakini ukija hapa Jamiiforum ukaishia kuwa underdog?
Mdogo wangu...
Mamlaka zetu zinafanya kazi gani? Inakuaje Boti inakosa life jackets au Maboya? Na Watu wanakaa maofisini?
Uzembe wa Serikali ya awamu ya Sita inaendelea kuteketeza roho za Watanzania. Damu ya...
Wakuu yani nimeshajiandaa natinga Bongo kutoka mamtoni tarehe 19.
Yani mfungo unaisha tu unakaribishwa na mambo mema na matamu ya duniani.
Mrembo Janepher Sanga katoa offer ya Iddi Shilingi...
Mimi siamini unachokiamini, unataka nisile ati kwakuwa wewe umefunga mara ooooh nisile hadharani, yaani nilie chumbani au kichakani kama nafanya ngono
Unakuta mtu saa 9 kalegea kama msusa...
DAH tulipo FIKA SIO pazuri, Kuna HUYO Binti MTANDAONI huonyesha uchi wake live insta, ALAFU anafunika, SIJUI ni WA bongo hapa, KWA KWELI SERIKALI YETU msichekee HAYA MAMBO tuelekeako WATOTO wetu...
Ukiyasikiliza haya maelezo ya dereva wa Marehemu Ssebo Bw Donald Jeremiah namashaka kwa namna fulani, wanaweza kumgeuzia kibao.
Alifanya kilichosahihi kwake baada ya kumkuta boss wake yupo katika...
Nipo hapa ndo natoka mzigoni mda huu naelekea nyumbani, nikifika nitazitafuna zote kwa pamoja kisha nikimaliza zoezi hili nitawaletea mrejesho hapa hapa
Huu mwendelezo wa mada za matumizi mbalimbali ya chumvi lakini leo hatujaangazia kiroho bali kimwili.. Karibuni.
Watu wametumia chumvi katika nyumba zao kwa madhumuni ya kusafisha, kwa mamia ya...
1: Watoto wadogo kabisa wanakatisha usingizi na kuamka saa 11 asubuhi wamejipanga kusubiri school bus. Hapo kurudi ni saa 11 jioni utadhani mzazi katoka kwenye utafutaji. Hapa haijalishi hata...
Hali ya taharuki imetokea kata Oloriéni wilaya ya Arumeru mkoani Arusha baada ya mwanaume mmoja anayefahamika kwa jina la Yasini maarufu baba Rama kudaiwa kuwabaka watoto wake wawili wenye umri wa...
Binadamu ana macho mawili ya kawaida.... Yanayoona vitu vya kawaida kabisa visivyohitaji darubini ama hadubini kuona... Ndio macho tunayotumia kila siku kwenye maisha yetu kuona tunavyotaka...
Nimeona mitandaoni Hifadhi adimu ya Ngorongoro tumewapa ndugu zetu waarabu wawekeze! Sitaki kuhoji zaidi maana nitazidi kuumia sana!
Lengo la hii mada ni kuitambulisha Hifadhi ya Ngorongoro kwenu...
Mvua kubwa Dar imeanza kunyesha usiku mkubwa kwenye saa 7 hivi
Tujuzane maeneo ambayo yameathirika na mvua hii ili mamlaka zijue pa kwenda kutoa msaada wa haraka ikiwa utahitajika
Kwa experience yangu ya kufanya kazi katika jeshi moja hapa nchi kwa miaka 10 nimegundua kuwa kazi za majeshi(jw,polisi,magereza) zinawafaa watu wenye elimu ndogo tena form 4 failure maana kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.