Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Anonymous
Arusha, kipande cha barabara kuanzia Mataa ya Esso mpaka Kona ya Nairobi kina mashimo makubwa yanayopelekea foleni na hata muda mwingine ajali! Ni muda sasa mamlaka zimekaa zinaangalia tuu.
0 Reactions
0 Replies
169 Views
Hii n changamoto sana hapa mjini kwa kwelii.....Najiuliza kwa nini mabosi wengi maofisini wana shida kubwa hawajengi makwao wanapotoka??[sio wote] Na sasa hadi wafanyabiashara wakubwa wanajaza...
0 Reactions
3 Replies
183 Views
Anonymous (6ded)
Je, Serikali haioni mazingira mabovu ya yakusomea wanafunzi katika Kitongoji cha Morondwe. Hapa ni wilaya ya same mkoani Kilimanjaro- kijiji cha Ishinde,kitongoji cha Morondwe. Kumekuwa na kero...
0 Reactions
0 Replies
126 Views
Niseme awali nilikuwa Mkristo lakini sikuwahi kuona upendo kama huu ninaouona kwa Waisilamu, na mafundisho yao ni ya upendo tofauti na wanavyosemwa kuwa ni watu wa kuchukiana, vita, ugaidi na...
3 Reactions
3 Replies
149 Views
Wataalam wa mambo ya anga na hali ya hewa wanadai mvua zinazoendelea kunyesha sasa hivi msimu huu wa masika zinatokana na misitu ya Congo na afrika ya kati kwa ujumla. Nawapongeza wanaharakati...
8 Reactions
24 Replies
470 Views
Wakati mvutano wa kisiasa na kijeshi ukiendelea kuongezeka katika eneo la Strait of Hormuz, Wataalamu wa sekta ya mafuta anaonya kuwa dunia inaweza kukabiliwa na msukosuko mkubwa wa nishati iwapo...
0 Reactions
1 Replies
213 Views
Hata ndoto za watu wengi ulimwenguni kwenda kujitafuta ni nchi zilizojaa wazungu. Mfano mwengine mtu awe muislamu mwenye jina la kiarabu, hupenda kuvaa mavazi ya kiarabui, hupenda kula vyakula...
6 Reactions
43 Replies
723 Views
Aisee leo mvua imepiga balaa uku lushoto tena ya maradi, nilikuwa ghetto nimetulia naperuzi JamiiForums kwa kutumia internet ya router ya YAS. Huku radi zikiendelea kupiga sina ili wala lile mara...
21 Reactions
63 Replies
4K Views
-Kujenga nyumba : Nilikuwaga naona wasy sana ila baada ya kuanza mchakato nilipoteza kilo kwasababu ya muda wote kuwaza ujenzi, nimekutana na stress za mafundi, nimejibana sana kufidia bajeti ya...
12 Reactions
19 Replies
394 Views
@lomomy nadhani umewai kujiuliza sisimizi wanatuona kama majitu makubwa, huu ndo muonekano wako katika mtazamo wa sisimizi
8 Reactions
11 Replies
365 Views
Jana ijumaa nilikuwa na kazi ndogo ya kurekebisha umeme katika shule moja! Matukio ya tabia ngumu za watoto niliyoyashuhudia nikiwa hapo shule yamenipa muda wa kutafakari sana! Kwa muda mchache...
11 Reactions
32 Replies
1K Views
Zanzibar ni nchi yenye watu wenye Tamaduni na Imani mbalimbali ikiwemo Waislamu na Wakristo. Kuweka katazo la unywaji pombe au uuzwaji pombe ni kuingilia faragha za watu. Kama biashara ya mtu...
1 Reactions
6 Replies
225 Views
Leo katika pitapita zangu Tiktok nimekuta advertisement ya magari ya umeme ya AION SUV kutoka GAC Actually najua naweza kuoata information Google kama nikitaka lakini nimeona pia nije kushare na...
3 Reactions
7 Replies
305 Views
Kuna laana kubwa Tanga. Nchi nzima inanyesha mvua isipokuwa Tanga, hasa mjini na viunga vyake ....all surrounding villages within Tanga City planned areas! Tangu last year June untill now! Soma...
3 Reactions
12 Replies
250 Views
Hallo wana JF. Mimi ni mteja wa CRDB BANK, nimekuwa nikitumia TemboCard yao for years. Siku moja card yangu ikagoma kufanyakazi. Nilipoenda ku-report, wakaniambia kuwa chip ya card imeharibika...
2 Reactions
10 Replies
336 Views
Mahakama ya Wilaya ya Lushoto, imemhukumu mwalimu wa Madrasa Abuubakar Hamis, mkazi wa eneo la Dule B lililopo Jimbo la Bumbuli wilayani humo, baada ya kukutwa na hatia ya Kumlawiti mara kwa mara...
2 Reactions
10 Replies
741 Views
Makanisa yangekuwa na utaratibu kama wa misikiti ingekuwa poa sana Unaingia kanisa lolote lililopo karibu yako Unakula zako neno unasepa bila kuambiwa ujitambulishe, kuulizwa umetokea wapi au...
2 Reactions
10 Replies
206 Views
Uchunguzi wa madaktari umeonyesha kuwa marehemu Denis Busulwa (Ssebo), aliyekuwa Mkurugenzi wa Uendeshaji na Biashara wa EFM na TVE, alifariki dunia kutokana na ugonjwa wa Deep Vein Thrombosis...
10 Reactions
43 Replies
1K Views
Punguzen haya mambo mnaonekaana vituko na usaniii Yaan kila.mtu akienda misiba ya wakubwa anataka vid anataka picha arushe fb nani anahitaji picha zenu kwenye fb ama vid zenu Kufika n inada...
4 Reactions
9 Replies
235 Views
Hizi hapa ni dalili au ishara umezaliwa kuwa mkubwa kimaisha na Mafanikio 1.kuota ndoto unapanda juu ya Mlima, hii ni ndoto inaonesha kuinuliwa kwako au kibali kutoka kwa Mungu na kuwa mtu...
4 Reactions
12 Replies
618 Views
Back
Top Bottom