Hallo wana JF.
Mimi ni mteja wa CRDB BANK, nimekuwa nikitumia TemboCard yao for years. Siku moja card yangu ikagoma kufanyakazi. Nilipoenda ku-report, wakaniambia kuwa chip ya card imeharibika...
Mahakama ya Wilaya ya Lushoto, imemhukumu mwalimu wa Madrasa Abuubakar Hamis, mkazi wa eneo la Dule B lililopo Jimbo la Bumbuli wilayani humo, baada ya kukutwa na hatia ya Kumlawiti mara kwa mara...
Makanisa yangekuwa na utaratibu kama wa misikiti ingekuwa poa sana
Unaingia kanisa lolote lililopo karibu yako
Unakula zako neno unasepa bila kuambiwa ujitambulishe, kuulizwa umetokea wapi au...
Uchunguzi wa madaktari umeonyesha kuwa marehemu Denis Busulwa (Ssebo), aliyekuwa Mkurugenzi wa Uendeshaji na Biashara wa EFM na TVE, alifariki dunia kutokana na ugonjwa wa Deep Vein Thrombosis...
Punguzen haya mambo mnaonekaana vituko na usaniii
Yaan kila.mtu akienda misiba ya wakubwa anataka vid anataka picha arushe fb nani anahitaji picha zenu kwenye fb ama vid zenu
Kufika n inada...
Hizi hapa ni dalili au ishara umezaliwa kuwa mkubwa kimaisha na Mafanikio
1.kuota ndoto unapanda juu ya Mlima, hii ni ndoto inaonesha kuinuliwa kwako au kibali kutoka kwa Mungu na kuwa mtu...
Wakati huohuo kumekua na migogoro ya mara kwa mara tangu zamani kati ya nchi ya Israel na mataifa ya kiarabu na kiislamu ( Arab-Israel conficts )
Kwanini kwenye mapokeo ya kiislam kuna malaika...
Katika mazuri machache aliyofanya dikteta Mobutu wa DRC (Zamani Zaire) ni kulazimisha wananchi wote kutumia majina asili ya makabila yao badala ya haya ya kigeni. Imesaidia sana kulinda utamaduni...
Igweeeeeee
Hii nchi ukiifikiria kiundani utaishia kulaani wazazi wako kukuzaa bongo
Nimepata kwenda kumtembelea rafiki yangu ana site yake huko goba, mji umepangika vizuri na watu wanaishi...
Kuna jambo ambalo halizungumzwi sana ila linatendeka sana, hili la wanafunzi madaktari wanapokuwa wapo kwenye mazoezi ni muhimu sana wakawa wanaambatana na madaktari wazoefu au walimu wao ili...
Kuna njia ya asili rahisi ya kupima joto la hewa ukiwasikiliza wadudu wa nje usiku wanavyooiga kelele specicically kwa kusikiliza mdudu anayeitwa Cricket. Wadudu hawa hupiga sauti ya chirp mara...
Huu ndio ukweli usio na shaka yoyote Ile.
Wachungaji pamoja na ma father wetu wanajua fila tukioa wanawake wawili au hata watatu wane hivi watakakoswa sadaka na Zaka na michango kedekede...
Nina miaka 28 nilikuwa sijatoka home nimejichanga sana nimenunua kiwanja na Sasa nimejichanga Kuna pesa naiongezea Ili Januari nijenge kwangu nitoke hapa nyumbani
Ubaya hii miezi 10 naiona...
Hello.
Aisee nimejaribu kufuatiliia namn̈a viongozi wa serikali wanavyoshindana kufuturisha.
Kasi imekuwa kubwa utadhani ni sehemu.ya utekelezaji wa ilani ya chama.
Siyo samia siyo mwinyi na...
Nimemsikia na kumuona mfanyabiashara wa Tanzania, Rostam Aziz akitangaza kuinunua Kampuni ya Media ya Nation (NMG) ya Kenya. Amenunua hisa za familia ya Aghakhan zinazozidi asilimia 50. Kutokana...
Nachukuwa fursa hii kuwapa pole, ndugu zang wa Tanzania. mliopoteza wapendwa wenu kwenye ajali ya bot ya Kigoma,hawa ni mashujaa tuliowapotez,wa taif letu.mola ailaze roho yao pahali pema pepon
Hili liko wazi
Samia Mzanzibar akitoka zamu ya Rais kutoka Tanganyika anaingia mwamba kabisa Mchengerwa
Mohamed Mchengerwa anatoka kwenye ukoo wa wanasiasa kumbuka bibi yake ni Bibi Titi...
Salama wakuu.
Nilinunua godoro la Vita Supreme. Limekuwa gumu kama jiwe hadi linaumiza.
Napata mashaka labda ni feki. Unatambuaje godoro feki? Maana nimesikia kuna watu wanayafyatua vichochoroni.
Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Miundombinu, imelitolea wito Shirika la Reli Tanzania (TRC) kuendelea kuwajengea uwezo vijana wa Kitanzania wanaounda na kukarabati vichwa vya treni za MGR, kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.