Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mbezi muda huu vibaka walipaki Gari yao hapo tangu Asubuhi, Kumbe walikuwa wanamvizia Agent wa gari ya makuti. Kabla hawajatokomea nae wananchi walizunguka gari watekaji wakazuga wanamuweka...
7 Reactions
24 Replies
597 Views
For beginners and experienced ones.. Come learn and grow spiritually https://www.facebook.com/share/r/187gwqoGse/
4 Reactions
70 Replies
604 Views
Mtazamo wa umaskini na utajiri katika jamii Umaskini sio laana ni daraja la kujifunza na kubadilisha , ukishakuwa na mtazamo huu utajilaumu kuzaliwa au kuwalaumu wazazi wako bali utatumia kama...
2 Reactions
7 Replies
411 Views
Kwa miaka ya karibuni, mjadala kuhusu hatma ya jamii ya Wamaasai ndani ya Ngorongoro Conservation Area umeendelea kuchukua sura mpya. Kauli ya Samia Suluhu Hassan kwamba Ngorongoro ni moja ya...
0 Reactions
4 Replies
246 Views
Hawa washauri wanapata bei gani kwenye huu/hii miradi? Chanzo cha mapato kinatoka wapi? Mpaka uchaguzi upite kuna watu watakuwa matrilionea.. Anyway tumsikilize Dr. Bagonza PhD kwanza kabla ya...
15 Reactions
73 Replies
3K Views
  • Redirect
SIO KILA MTU ANAKAA KIMYA AKIIBIWA HAYA SASA SHESHE HILO 👇 Hali ya wasiwasi imetanda katika baadhi ya maeneo ya wilaya ya Arumeru mkoa Arusha baada ya vifo vya vijana zaidi ya watano kutokea...
1 Reactions
– Replies
– Views
Ni wapi naweza pata chumba cha kulala na tsh 60,000 kwa usiku
2 Reactions
23 Replies
440 Views
Katika siku za hivi karibuni kumekuwa na tabia inayolalamikiwa sana na madereva wa usafiri wa mtandao (Bolt, Farasi, Paisha n.k.) katika eneo la Kivukoni Ferry, Dar es Salaam. Baadhi ya madereva...
7 Reactions
15 Replies
320 Views
Sio kwa ubaya lakini sio hali ya kawaida katika nchi ambayo wengi ni Wabantu, Waniloti na Wakushi matajiri top kabisa katika nchi kuwa ni Wahindi, Waarabu na Waburushi/Wapersia na wao kuwa ndio...
16 Reactions
84 Replies
2K Views
Makala sehemu ya pili... Kwa akina Mama wengi, ujauzito na kujifungua ni safari inayohitaji utulivu wa akili na uhakika wa huduma bora za afya. Hata hivyo, kwa baadhi ya wakazi wa jiji la Dar es...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
ZANZIBAR, 6 Machi 2026 – Kampuni ya Puma Energy Tanzania imeandaa futari maalum visiwani Zanzibar iliyowakutanisha wateja, washirika wa biashara, viongozi wa serikali na wadau mbalimbali kwa lengo...
1 Reactions
1 Replies
202 Views
VIJANA WENGI HAWAJUI SIRI HII: NUSU YA KIPATO CHAKO NDIO KIWANGO CHA MATUMIZI YAKO HAYATAKIWI KUZIDI HAPO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Usijesema ooh! Mtibeli bahili. Ooh! Upare...
15 Reactions
83 Replies
1K Views
Wadau habari za mida, Nimekuwa nafuatilia sana kuhusu elimu ya uwekezaji kwa muda sasa kuhusu stock au hisa, hatifungani na mifuko ya uwekezaji ya pamojai ila sasa naomba niongelee hisa haswa za...
2 Reactions
8 Replies
451 Views
Nini kimempata ChatGPT? Siku hizi ukimuuliza maswali ambayo zamani alikua anayajibu vizuri tu siku hizi hataki tena na hajibu tena anakufokea kabisa unamchombeza unavyoweza AI hataki kabisa...
3 Reactions
84 Replies
1K Views
Ukitaka kuwa na amani(inner peace) katika kipindi cha changamoto fanya hivi. Maisha ya binadamu yamekuwa na changamoto kama sehemu ya kutufundisha, kutuimarisha pia ni fursa ya kuibua uwezo au...
3 Reactions
8 Replies
371 Views
Wapi Gen Z wanakosea au ni nature tu imeamua, Kila nikichek ni RIP kwa vijana wadogo.
3 Reactions
26 Replies
588 Views
Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Xavier Daudi, amekemea vikali vitendo vya uhusiano ya jinsia moja miongoni mwa watumishi wa umma, akisisitiza...
4 Reactions
39 Replies
3K Views
Ngorongoro ni urithi wa Dunia sio tu wa Tanzania lakini ni urithi wa dunia na upo kwenye vitabu vya dunia chini ya Shirika la UNESCO, ni lazima sisi ambao tumeshushiwa Ngorongoro na Mwenyezi Mungu...
1 Reactions
9 Replies
289 Views
Kuna kitu nilifanya mwaka jana ambacho watu wengi waliniona kama nacheza mchezo wa ajabu kidogo. Nilikaa siku 100 nzima bila kuangalia saa. Hakuna sababu maalum. Sikuamka asubuhi nikasema tu...
12 Reactions
41 Replies
871 Views
Mkurugenzi wa Uzalishaji na Biashara wa EFM & TVE Deniss Ssebo, amefariki dunia usiku huu katika hospitali ya Muhimbili. Ssebo amefariki baada ya kuugua ghafla. Taarifa zaidi zitawajia kuhusu...
9 Reactions
69 Replies
3K Views
Back
Top Bottom