Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Unaweza ukawa umefika mwisho, unaona kama haun faid kwenye hii dunia, ila ishi na imani mtumaniye Mungu sio wote wanaokutakia mema wengi, wanataman utesek ndio wafurah Mungu akupe nguvu maan wewe...
7 Reactions
5 Replies
150 Views
Haya mambo nimekuja kuyajulia Dar, kwetu Bulongwa Makete Uislam hauko. Ndugu zanguni naomba kujulishwa jinsi albadil inavyofanya kazi. Kuna MTU kaniibia kiasi kikubwa sana cha hazina yangu...
12 Reactions
84 Replies
3K Views
Mlima Namanga uliopo mpakani mwa Kenya na Tanzania, wapasuka katikati na kuporomoka. Sababu yadaiwa ni mvua inayoendeea kunyesha. Sijui lawama nimtupie nani
5 Reactions
39 Replies
1K Views
“Akili ni mali” – msemo huu unaakisi ubunifu wa kipekee katika Saluni ya Kike iliyoko jijini Dar es Salaam ambayo imejizolea umaarufu kutokana na utofauti wa huduma wanazotoa. Mbali na huduma za...
1 Reactions
2 Replies
161 Views
Wahandisi wetu wawekeww sheria ya kunyongwa hadi kufa. Wanahujumu Nchi na wanakosa uzalendo. Mfano: Kutoka mikumi kwenda Wilayani Kilosa Mhenda dalaja limevunjika. Hili daraja halijamaliza miaka...
9 Reactions
21 Replies
573 Views
Kila mtu ana mawazo ya kufanikisha kitu fulani. Mawazo hayo baadae huzalisha malengo, na kwa kujiwekea malengo ndio njia ya kufanikiwa katika yale tunayotaka kufanikisha. Kuwa na haja ya kutimiza...
5 Reactions
4 Replies
3K Views
Nimetumiwa hii clip ikazidi Kunishangaza,maana kuna madereva bado hawajifunzi sijui ni ukichaa Ujuaji mwingi ! Mtu unaona kabisa kuna mafuriko kuna hali ya hatari wewe unapitisha chuma hapo! Kwa...
6 Reactions
25 Replies
511 Views
Vijana ambao wengi ni boda boda na wengine wasio boda boda katika Wilaya ya Arumeru wameanza kufa Kwa vifo vya ajabu ajabu hususani kupasuka vichwa ghafla na vifo vingine visivyoeleweka. Tukio...
16 Reactions
91 Replies
2K Views
Dunia inaenda kasi sana! Yani huyu mama na mumewe awajui kujishikilia kabisa :cool: :D:D =========== Wanakijiji baada yakuona mwanamama huyu kila mwaka anazaa na maisha yake ni magumu sana...
3 Reactions
10 Replies
282 Views
Hakuna kitu kinauma kama kujiona unazeeka Bila maendeleo yoyote kwenye maisha yako 🤔
1 Reactions
3 Replies
131 Views
Huenda huu ukawa ndio mjadala mkali zaidi wa kiserikali tangu kuanza Kwa Mwaka mpya wa 2026. === Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila atazungumza na Watanzania...
1 Reactions
10 Replies
179 Views
‎Kwa zaidi ya miaka arobaini tangu kugunduliwa kwa virusi vya HIV/AIDS, changamoto kubwa kwa wanasayansi haikuwa tu kuua virusi vilivyo kwenye damu. Tatizo kubwa zaidi ni kwamba virusi vya UKIMWI...
4 Reactions
5 Replies
391 Views
Amka wewe mwafrika! Wake up from your slumber! Ramadhani na Kwaresma ni vipindi vya mchongo! Vipindi hivi havina chochote wala lolote. Sanasana ni likizo fupi ya watenda maovu! Kama kweli...
32 Reactions
186 Replies
2K Views
Hili tatizo la ulafi litaisha lini? Tende zimetolewa msaada toka Uarabuni. Sisi hizi ndo zinatufanya tutembee tukisema tumefunga ili tuje zipata. Wewe unakula tende na wake zako na watoto...
4 Reactions
8 Replies
238 Views
Kwenye sheria nyingi za kimataifa kundi maalum linatajwa kuwa Wanawake, Watoto, Wazee na watu wenye ulemavu. wakati huohuo wanawake wa dunia ya sasa wanadai 50/50 NATURE HAIJAMUUMBA MWANAMKE...
2 Reactions
19 Replies
521 Views
Mwanza. Serikali ipo mbioni kuanzisha Mpango wa Mageuzi ya Kijani utakaolenga kukijanisha Tanzania na kusafisha Mazingira ambao programu zake zitasambaa nchi nzima ikiwa moja ya njia ya kuhifadhi...
3 Reactions
15 Replies
243 Views
Pesa inakupa confidence ya ajabu sana. Pesa inakupa mamlaka juu ya hisia na mitazamo ya watu. Pesa inabadirisha hata uso wako vile utakapo tazama kila mtu. Pesa inakununulia ubabe, pesa...
6 Reactions
23 Replies
273 Views
Hello GT.. Nina swali hivi dereva wa Ssebo anaweza kufungulia mashtaka ? Badala ya kumpeleka jamaa hospitali yeye alifanya maombi. Yaani dizaini kama aliharikisha kifo cha jamaa.
2 Reactions
9 Replies
353 Views
Zanzibar imepiga marufuku uuzaji pombe Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, na kwamba hatua za kisheria zitachukuliwa kwa wote watakaobainika kuuza. MY TAKE; Je, Zanzibar ni Mikoa wa Kiislam? Au...
5 Reactions
30 Replies
544 Views
Walipokuwa wachache mlisema hawatafika popote kwa maana mliona hakuna vision kati yao, hakuna logic kati yao. Lakini wajinga hawajui kujitilia mashaka, watalaumiana wao kwa wao mara nyingi sana...
7 Reactions
5 Replies
179 Views
Back
Top Bottom