Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Serikali kupitia Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeyapatia ufumbuzi malalamiko ya muda mrefu ya viwanja mbadala kwa wananchi wa jiji la Dodoma. Suluhisho hilo linafuatia...
1 Reactions
1 Replies
271 Views
Wataalamu kwema jamani, hivi kuna dawa ya kuondoa chumvi kwenye kisima cha maji?
5 Reactions
44 Replies
3K Views
Leo ijumaa tuombee dua sana watu wa Iran walinde nchi yao iliovamiwa na maadui. Wanaharakati wa Tanzania pia tuwaombee dua macho yao yafunguke ili wajue maana ya haki za binaadam. Kwanini...
7 Reactions
19 Replies
282 Views
Anonymous
Mimi ni Mwanataaluma na mdau wa Maktaba ya Mkoa Iringa, pia ni Lecturer katika moja ya Chuo hapa Iringa Mjini. Nimekuwa nikitumia Maktaba ya Mkoa kwa muda mrefu sasa, lakini mimi pamoja na wadau...
3 Reactions
12 Replies
524 Views
Swali la kujiuliza ni hili: Je, kweli tutafikia malengo ya maendeleo ya taifa kama mijadala mingi katika Bunge inaishia kwenye masuala madogo kama ujenzi wa vyoo, madawati na majengo ya shule...
2 Reactions
2 Replies
152 Views
Tanzania na Uganda zimekubaliana kuondoa vikwazo vyote vya biashara kati ya nchi hizo mbili ifikapo mwezi Juni mwaka huu, katika hatua inayolenga kuimarisha biashara ya pande mbili na kuongeza...
2 Reactions
1 Replies
178 Views
Mafundi wenu sijui ndio wanafanyia majaribio ya kurekebisha sauti huku. Application mara nyingi imekuwa kama second option kwenu ingali watu tunalipia!?, kwa kuwa customer desk lenu halifikiki...
0 Reactions
0 Replies
136 Views
UVUNAJI WA MAJI YA MVUA (Rainwater Harvesting) Simpo tu Mamlaka za Maji chini ya Wizara ya Maji fikirini jili ni rahisi tu: Si teknolojia ya ajabu — ni mabomba + matenki tu. Done.
3 Reactions
16 Replies
414 Views
Anonymous
Arusha, kipande cha barabara kuanzia Mataa ya Esso mpaka Kona ya Nairobi kina mashimo makubwa yanayopelekea foleni na hata muda mwingine ajali! Ni muda sasa mamlaka zimekaa zinaangalia tuu.
0 Reactions
0 Replies
168 Views
Hii n changamoto sana hapa mjini kwa kwelii.....Najiuliza kwa nini mabosi wengi maofisini wana shida kubwa hawajengi makwao wanapotoka??[sio wote] Na sasa hadi wafanyabiashara wakubwa wanajaza...
0 Reactions
3 Replies
182 Views
Anonymous (6ded)
Je, Serikali haioni mazingira mabovu ya yakusomea wanafunzi katika Kitongoji cha Morondwe. Hapa ni wilaya ya same mkoani Kilimanjaro- kijiji cha Ishinde,kitongoji cha Morondwe. Kumekuwa na kero...
0 Reactions
0 Replies
123 Views
Niseme awali nilikuwa Mkristo lakini sikuwahi kuona upendo kama huu ninaouona kwa Waisilamu, na mafundisho yao ni ya upendo tofauti na wanavyosemwa kuwa ni watu wa kuchukiana, vita, ugaidi na...
3 Reactions
3 Replies
149 Views
Wataalam wa mambo ya anga na hali ya hewa wanadai mvua zinazoendelea kunyesha sasa hivi msimu huu wa masika zinatokana na misitu ya Congo na afrika ya kati kwa ujumla. Nawapongeza wanaharakati...
8 Reactions
24 Replies
470 Views
Wakati mvutano wa kisiasa na kijeshi ukiendelea kuongezeka katika eneo la Strait of Hormuz, Wataalamu wa sekta ya mafuta anaonya kuwa dunia inaweza kukabiliwa na msukosuko mkubwa wa nishati iwapo...
0 Reactions
1 Replies
213 Views
Hata ndoto za watu wengi ulimwenguni kwenda kujitafuta ni nchi zilizojaa wazungu. Mfano mwengine mtu awe muislamu mwenye jina la kiarabu, hupenda kuvaa mavazi ya kiarabui, hupenda kula vyakula...
6 Reactions
43 Replies
722 Views
Aisee leo mvua imepiga balaa uku lushoto tena ya maradi, nilikuwa ghetto nimetulia naperuzi JamiiForums kwa kutumia internet ya router ya YAS. Huku radi zikiendelea kupiga sina ili wala lile mara...
21 Reactions
63 Replies
4K Views
-Kujenga nyumba : Nilikuwaga naona wasy sana ila baada ya kuanza mchakato nilipoteza kilo kwasababu ya muda wote kuwaza ujenzi, nimekutana na stress za mafundi, nimejibana sana kufidia bajeti ya...
12 Reactions
19 Replies
393 Views
@lomomy nadhani umewai kujiuliza sisimizi wanatuona kama majitu makubwa, huu ndo muonekano wako katika mtazamo wa sisimizi
8 Reactions
11 Replies
362 Views
Jana ijumaa nilikuwa na kazi ndogo ya kurekebisha umeme katika shule moja! Matukio ya tabia ngumu za watoto niliyoyashuhudia nikiwa hapo shule yamenipa muda wa kutafakari sana! Kwa muda mchache...
11 Reactions
32 Replies
1K Views
Zanzibar ni nchi yenye watu wenye Tamaduni na Imani mbalimbali ikiwemo Waislamu na Wakristo. Kuweka katazo la unywaji pombe au uuzwaji pombe ni kuingilia faragha za watu. Kama biashara ya mtu...
1 Reactions
6 Replies
225 Views
Back
Top Bottom