Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu Salama humu ndani... Kama umesoma uzi wa mimi kutaka sana kukaa kijinini basi mambo yalianzia huku Wakuu mimi nipo salama kabisa physical lakini kichwani hapana nina pitia mengi sana kiasi...
18 Reactions
287 Replies
3K Views
Fikiri mfano huu: umeshika simu yako, ghafla tu unasikia imeita, kabla hata hujapokea inakatwa. Unaachana nayo. Hujabonyeza chochote. Lakini!! Simu yako ndio imeshadukuliwa hivyo!! Meseji zako...
5 Reactions
11 Replies
434 Views
Mkutano wa siku mbili wa Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) umehitimishwa jijini Pretoria, Afrika Kusini Machi 13, 2026. Madhumuni ya mkutano huo yalikuwa ni...
1 Reactions
1 Replies
193 Views
Mika 2:11 NEN [11] Ikiwa mwongo na mdanganyifu atakuja na kusema, ‘Nitawatabiria divai na pombe kwa wingi,’ angekuwa ndiye nabii anayekubalika na watu hawa! Wakati watu wa Yuda wakipitia kipindi...
1 Reactions
1 Replies
159 Views
Anonymous
Waziri mkuu katika ziara zake atenge mda wa kuwasililiza watumishi Kuna kero nyingi hasa Halmashauri zetu, Kuna wakurugenzi na baadhi ya wasaidizi wake hawatimizi wajibu wao ipasavyo. Katika...
0 Reactions
0 Replies
119 Views
Kama kijana unataka kupata pesa za online soma hizi hapa skills(ujuzi) Teknolojia inaendelea kukua toka miaka ya 90 ambapo gunduzi mbalimbali zilizopo anza kufanyika kutoka world wide web mpaka...
1 Reactions
2 Replies
284 Views
Nje ya kuwinda, kula nyama, kuzaliana, vita na kunywa pombe. Kuna kabila lilikuwa na mfumo wa elimu au wote tumekuja kutolewa ushamba na wakoloni ?
1 Reactions
8 Replies
202 Views
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeridhishwa na kazi ya uimarishaji wa mpaka wa Kimataifa kati ya Tanzania na Kenya ambapo Km 564 sawa asilimia 75 tayari zimewekewa alama...
0 Reactions
0 Replies
164 Views
"Kwa hiyo nikifariki malaika wawili watakuja kwenye kaburi langu na kuanza kuniuliza maswali kwa Kiarabu. Ikiwa nitashindwa kuelewa, watanitesa kijana wa kiYoruba kwa sababu tu ya kushindwa...
8 Reactions
21 Replies
553 Views
Anonymous
Nalalamikia ndege za Air Tanzania hususan zinazoenda Comoro, kuna wakati wa rush za biashara kama za mwezi wa ramadhan au likizo Air Tanzania inatabia ya kubeba abiria na kuacha mizigo mpaka baada...
1 Reactions
3 Replies
226 Views
Kama hupo chuo fanya hivi kuwa mbele ya muda itakusaidia sana baada ya kumaliza chuo. 1.Muweke Mungu wa kwanza kwenye maisha yako ya chuo , atakusaidia kufanya maamuzi sahihi , watu gani sahihi...
3 Reactions
6 Replies
330 Views
Katika dunia ya leo, mitandao ya kijamii imekuwa sehemu kubwa ya maisha ya vijana. Vijana wengi wana simu janja na wanatumia mitandao kama vile **Facebook, WhatsApp, Instagram na TikTok. Hata...
2 Reactions
1 Replies
251 Views
Hali ya sasa ya siasa za ulimwengu na vita zinazoendelea Mashariki ya kati, imesababisha madhara makubwa ulimwenguni ikiwemo kwa nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), na huo ni...
1 Reactions
1 Replies
175 Views
Kama unafunga mpaka ule daku au kwasababu ni mwezi wa mfungo au usifike na watu basi unashinda na njaa. Kuna hawa watu wanafunga na wakiona watu wanakula wanakasirika au wanawapiga na kuwauwa...
2 Reactions
3 Replies
213 Views
Mahakama ya Hakimu Mkazi iliyopo Kisutu, jijini Dar es Salaam, imetoa hukumu katika shauri la madai ya kashfa lililofunguliwa na msanii na Mbunge Clayton Revocatus Chipando (Baba Levo) dhidi ya...
6 Reactions
22 Replies
1K Views
Suala la kuchagua jinsia ingekuwa ni hiari huenda wanawake wasingekuwepo au wangekuwa wachache sana. Sababu hizi hapa 1. Kwa mujibu wa tafuti kwa nchi zenye population control policy kama china...
7 Reactions
93 Replies
1K Views
Wakuu, Baada ya kuwepo kwa sintofahamu ya kuuza kwa Shule ya Msingi Ubungo National Housing hivi karibuni, Ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo imekanusha uvumi unaoenea...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Ndugu zangu Hapo zamani walikua wanafanya nje biashara zao. Ila Kadiri miaka na miaka inavyozidi kusogea mbele ndani ya kanisa la KKT (lutheran) kumekua na biashara pale mwishoni mwaibada...
11 Reactions
155 Replies
2K Views
Watu wengi ukiwemo wewe najua hujui hili, Sasa leo kupitia grupu hili la Maajabu Ya Dunia wacha nikufahamishe, Kama ilovyo kwa wanaume wengi hapa duniani huachwa na wanawake kisa umasikini...
10 Reactions
47 Replies
3K Views
Back
Top Bottom