Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kwa Li Qiaoyang, kijana shabiki wa kutalii kutoka mkoa wa Shandong, mashariki mwa China, ndoto ya likizo si kutembelea majumba ya makumbusho katika nchi za Ulaya ama fukwe za Asia Kusini...
0 Reactions
0 Replies
214 Views
  • Redirect
Tamko lililo subiriwa kwa hamu hatimaye limetoka rasmi, kuwa DUDU BAYA ACHUKULIWE hatua za kinidhamu sio SWALI LANGU KWAKO WAZIRI, KAMA VIFAA TIBA NI VYA KISASA NA VINA UBORA, KWANINI NYIE...
0 Reactions
– Replies
– Views
Anonymous
Tatizo la maji kwa sisi wakazi wa Kibaha – Mfipa, mtaa wa Simbani limekuwa kubwa sana. Maji yanatoka mara moja au mbili tu kwa wiki tena usiku wa manane wakati tumelala , na wakati mwingine...
0 Reactions
1 Replies
170 Views
Asilimia kubwa ya wanawake hutoka kwenye umaskini kupitia ndoa, na asilimia kubwa ya wanaume huingia kwenye umaskini kupitia ndoa. 80% of the time, women escape poverty through marriage AND 80%...
17 Reactions
125 Replies
2K Views
Video niliyoambatanisha kwenye post hii inaonesha tofauti ya namna watoto wanavyolelewa na kufundishwa nidhamu, mazoezi na kujituma katika maisha ya kila siku kati ya baadhi ya familia za China na...
2 Reactions
18 Replies
273 Views
Anonymous
Kero yangu ni kwa mfuko wa bima ya afya wa Taifa (NHIF) kupitia huduma yao ya jihudumie ya (NHIF self services) inachukua muda mrefu sana tangu kuongeza tegemezi mpaka ku approve maombi na...
1 Reactions
1 Replies
219 Views
Katika kumbukizi ya miaka 4 Toka aliyekuwa Rais wa awamu ya 5 Hayati Magufuli atutoke Magufuli ni Rais ambaye hakuacha Legacy yoyote hapa nchini na badala yake alituachia mzigo ambao Rais Samia...
31 Reactions
209 Replies
7K Views
Makampuni na Teknolojia Google – Sergey Brin, Larry Page Facebook / Meta – Mark Zuckerberg WhatsApp – Jan Koum, Brian Acton Intel – Andy Grove, Robert Noyce Oracle – Larry Ellison Dropbox – Drew...
5 Reactions
8 Replies
343 Views
Nimekutana na video nyingi sana zinazonyesha waChina nao wakio watengeneza maudhui ya mtandaoni kwa hapa bongo tena wanaongea kiswahili kabisa! Yani kila sehemu wapo wao, maana ukienda kariakoo...
3 Reactions
7 Replies
300 Views
Nimemsikiliza kiongozi mmoja wakidini hawa wenzetu walokole kanishangaza kidogo. Anasema nchi ya Israel imetunga Sheria inayozuia wananchi wake kulitaja au kuomba Kwa kutumia jina la Yesu...
3 Reactions
6 Replies
253 Views
Mi si mwenyeji sana hapa Dsm. Naomba kufahamu wapi ulipo Ubalozi wa Afrika kusini ukitokea K'koo au Ubungo. Asante kwa msaada.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Inahuzunisha sana. JF imekumbwa na uhaba mkubwa wa watu wenye akili kubwa wanaoweza kujenga hoja bila kujali itikadi zao kisiasa wala imani zao. Watu wa kushabikia kila kitu kinachosemwa ni wengi...
10 Reactions
65 Replies
986 Views
Namnukuu mchungaji aliyekuwa akihubiri kanisani leo mchana, "Tuko mbele 'zako' baba wa mbinguni". Hivi mungu ana mbele ngapi? ni 'mbele zako' au 'mbele yako'. Hebu tuwekane sawa maana mungu...
5 Reactions
130 Replies
1K Views
Nimeona kwenye migahawa kadhaa sasa ukiagiza Chai unaletewa maji ya mchaichai uliochemshwa badala chai nyeusi(black tea) ambayo ndio chai halisi tangu zamani. Sijui ni Wasabato wa msimamo mkali...
7 Reactions
21 Replies
381 Views
Dubei na UAE kunaungua, hakukaliki na uchumi unadorora. Wamasai walipoporwa ardhi yao ya Loliondo na Ngorongoro walitambika na kuwalaani hawa waarabu na vibaraka wao nchini. Hii ni mwanzo tu na...
3 Reactions
9 Replies
185 Views
Maisha ya mende yanahusisha mzunguko wa ukuaji unaopitia hatua tatu kuu: yai, tunutu (nymph), na mende mpevu. Mende ni miongoni mwa wadudu wastahimilivu zaidi duniani, wakiwa na uwezo wa kuishi...
6 Reactions
8 Replies
419 Views
Bibi yangu aliyekuwa rafiki yangu mkubwa na mshauri ulipotangulia mbele za haki na akaniacha na maumivu makubwa sana. Ukiwa uliisha ila chuki yangu na mjomba imekuwa kubwa mara baada ya msiba...
30 Reactions
65 Replies
9K Views
Hali ya sintofahamu imeibuka katika eneo la Buza kufuatia mzozo uliozuka kati ya Wananchi wa Buza Kanisani na Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sixtus Mapunda. Mzozo huo umeibua hali ya kutoelewana kuhusu...
1 Reactions
2 Replies
239 Views
Katikati ya Bahari ya Hindi, ndani ya visiwa vya Andaman vilivyo chini ya India, kuna kisiwa kidogo kinachoitwa North Sentinel Island. Hapa ndipo wanaishi watu wanaoitwa Sentinelese mojawapo ya...
10 Reactions
14 Replies
366 Views
Back
Top Bottom