Yule mrembo maarafu nchini, nuru ya taifa na nembo ya taifa Valentine Gabriel almaaruf Vale nafaka, ameisaidia Tanzania kuwa namba mbili katika uzalishaji wa zao la mahindi Afrika baada ya Afrika...
Kuna mfululizo wa dokumentari nilikuwa naufuatilia unaoonyesha safari ya timu ya Recharging Hope. Hawa ni vijana wabunifu, wanaosafiri kwa pikipiki zinazotumia umeme wa jua (Solar-powered electric...
Wakazi wa kitongoji cha Kamficheni kijiji na kata ya Mkwajuni Mkoani Songwe, wameeleza kutokuwa na imani na mwenyekiti wao wakidai ameshindwa kusimamia amani na kuwawajibisha watu wanao sababisha...
Dubei ndio hivyo tena kwiiisha. Dubai is finished.
Wahamiaji matajiri expats wanaikimbia Dubei.
Nyumba zimeshuka thamani 69%. Biashara haziendi.
Madereva teksi hasa kutoka Pakistani, India na...
Uchambuzi wa maandiko matakatifu ya Biblia na Quran unaonyesha kuwa neno Israel lina mizizi ya kina na ya wazi katika vitabu vyote viwili, huku neno Palestina likikosekana kama jina la nchi au...
Leo hii Tanzania reli ni za kuhesabika na zote zinaanzia Dar
Dar-Dodoma-Tabora- (Kigoma/Mwanza/Mpanda)
Halafu kuna hii ya Dar hadi Mbeya, kuelekea Zambia
Naya ya tatu ni kutoka Dar hadi...
Kama kuna suala ambalo limekuwa likikua kwa kasi lakini bado hatujaliwekea umakini ni: kuenea kwa teknolojia ya ufuatiliaji watu (mass surveillance) barani Afrika. Ripoti ya hivi karibuni kutoka...
Kwa mujibu wa Mfumo Salama wa Usalama Barabarani (Safe system approach), kunapotokea ajali barabarani, maana yake kuna sehemu kwenye mfumo wa usalama barabarani ni dhaifu na hivyo pamefeli. Kufeli...
Kwa mtazamo wangu mapenzi ya jinsia moja hayafai lakini tusifike hatua ya kuanza kupitisha sheria za kuua au kuwafunga jela.
Karibia kila sehemu vitendo na mahusiano haya unaweza kuyakuta lakini...
Kumejitokeza tabia ambayo baadhi ya wanawake hawapendi kusikia ukweli unaowakosoa. Mara nyingi hupokea vizuri maneno yanayowapendeza kuliko ukweli unaowaweka kwenye hali ya kujitafakari...
Habari wakuu! Nina shida na fundi mzuri wa auto electrical mwenye cheti kwa ngazi ya diploma sio lazima awe vizuri kwa upande wa practical, uzoefu ataupata kazini!!
Kama unamjua mtu wa namna...
Habari za Usiku ndugu zangu !
Mimi kama Arsenal Jioniiiii sana ndio nafanya tukio.
Naomba nieleze kwa ufupi sana ili kutoa ushauri kwa vijana wa Kitanzania kuhusu Siasa na Maisha.
Mada hii...
Ni wiki ya pili sas akuna mtandao uhamiaji walitoa taarifa wiki iliyo pita lakini adi sàs akuna lililoshughulikiwa uwezi pata passport Wala emergency travel document
Nimekutana hii list huko mitanaoni ikijadili ongezeko la Mabinti wa marais wa Afrika kushika nafasi za juu za kiserikali au kidiplomasia. Huu mjadala pia umewekwa na TRT Afrika ukinaonyesha...
Mwezi Septemba mwaka jana, Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani ilitangaza “Mkakati wa Afya wa Marekani Kwanza Duniani,” ikiahidi kusukuma ushirikiano wa kimataifa wa afya kwa njia yenye ufanisi...
Taarifa kuhusu mchakato wa kufilisishwa kwa kampuni ya Sahara Media Group imeendelea kuvutia mjadala mpana hasa kwenye mitandao ya kijamii, huku wadau wengi wakibaki na maswali, pengine hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.