Maamuma ni mtu mjinga asiye na akili kwa kufuata mawazo yake au Yale ya wengine..
Hilo kocha la Yanga kwa jina Pedro pamoja na viongozi wake , wote ni maamuma..Yaani kocha jinga linawachezaji 25+...
Zab 95:8 SUV
[8] Msifanye migumu mioyo yenu; Kama vile huko Meriba Kama siku ya Masa jangwani.
Meriba ni nini, na Masa ni kitu gani, kwanini Mungu anawakumbusha Waisraeli wasifanye mioyo yao...
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Mwanza, Mhashamu baba askofu, Renatus Nkwande amesema watoto na familia ya Hayati Rais wa Awamu ya tano, John Magufuli ikitembea mtaani inashangiliwa na...
Dunia ni yawatu wenye nguvu hii
UKijifanya mnyonge kwa kudai haki yako hupati zaidi utasingiziwa kesi ya ubakaji au kesi yeyote ili uzidi kuteseka
Hakuna haki yeyote ambayo inapatikana duniani...
Hili baraza lina vituko. Limesema kuwa mtuhumiwa hajajisajili kwenye baraza lao kama msanii halafu mwishoni linamtoza Tsh 3m. Hii sijaelewa kabisa...!!
Kimsingi huyu mtu anatakiwa afikishwe...
Nilikuwaga siaminigi uchawi mpaka nilipowaonaga live nilivyoenda tabora mayombo .kwanza kwenye bati unasikia mchanga unachuruzika na vishindo mwenyeji wangu akaniambia wachawi hao nikambishia...
wanajamvi wote habarini,heri ya sikukuu ya eid.
mimi si muandishi mzuri sana, nimekuwepo jamii forums muda kidogo, ila kulikuwa na kitu moyoni mwangu nikitaka ku share pamoja
ndoto zipo za aina...
Msinishangae niko macho muda huu... Huu ndio wakati pekee naweza kufanya kitu kwa kutulia, hakuna kelele na akili imerelax (hata watoto wanaotafutwa muda huu huwa makini sana) wanaotafutwa saa...
GT
Tangu enzi hizo miaka.ya 2000 ITV ilikuwa ni super brand kweli kweli ukiunganisha na east Afrika TV sisi wakongwe tunaelewa sana.
Ukitaka habari za uhakika na uhondo and balanced ITV ilikuwa...
😊
Ndani ya kila mmoja wetu kuna nguvu iliyojificha… nguvu inayovunja minyororo, inavunja hofu, na kuangaza hata giza zito zaidi.
Mtu anapokuwa mwaminifu kwa nguvu yake ya ndani, hakuna...
Katika mchanganyiko wa utukufu wa ustaarabu na roho ya mustakabali, tunasherehekea siku ya Eid iliyojaa furaha, amani, na mwanzo mpya wenye nuru na mafanikio. 🌙
Eid si tu sherehe… ni ukumbusho wa...
Kama kijana umezaliwa pambana kufika level ambazo wazazi au ukoo wako ujafika.
Kijana pambana kutafuta mafanikio lakini tumia njia za Mungu ,atakupa uwezo wa kukilinda kile ulichopata, kuna...
Kitabu cha Kutoka 34:29–30
“Ikawa Musa aliposhuka kutoka mlima Sinai… ngozi ya uso wake iling’aa kwa sababu alikuwa amesema na Bwana. Haruni na wana wa Israeli walipoona ya kuwa ngozi ya uso wa...
Wakuu
Nina swali naomba msaada wa tafsiri
Inanitokea naota nafanya mapenzi na watu tofauti ninaowafahamu na nisiowafahamu
Kinachonishangaza ni kuwa ninashiriki tendo la ndoa mara kwa mara...
Wakuu hawa wanaiba pesa na hutapata notification kwa sms.
ATM za CRDB zimejaa wezi
Msizitumie.
Ukiweka ATM card ile ya kuscan.
Ukitoa tu,
Wanadetails zako zote.
Hiyo ATM ya hapo Royal...
https://www.facebook.com/share/v/1F8ZwKiTt4/
Ukiifuatilia hiyo video kuna muumini kamuuliza shehe wake kuwa kama yeye ni mfanyakazi wa kampuni ya ujenzi na hiyo kampuni ikapata tenda ya ujenzi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.