Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mfano unakuta mtu flani ni mtaalam sana wa vitu kama ufundi, upishi, n.k. lakini hana mtaji Mwengine ana mtaji lakini hana hizo skills, wala uwezo wa kusimamia Mwengine ana jicho la...
2 Reactions
6 Replies
180 Views
  • Redirect
1 Reactions
– Replies
– Views
Katika miji kama Dar es Salaam, Dodoma na Arusha, matangazo ya Blockchain Masterclass yamekuwa kama matangazo ya tamasha la muziki—kila wiki yapo, kila kona yanavutia sana. Ahadi ni ile ile...
0 Reactions
0 Replies
186 Views
Naelewa jinsi jamii ya Kitanzania inavyo pressurize watu kuanzisha familia ila kiuhalisia sio kila mtu lazima aanzishe familia (mume, mke au mtoto) Kuna watu hawastahili kabisa kuwa na familia...
10 Reactions
13 Replies
321 Views
Ni asubuhi tulivu ya Ijumaa, Mei 21, 2004. Mji wa Moshi umeanza kuchangamka, watalii wanajiandaa kupanda mlima Kilimanjaro, wafanyabiashara wanafungua biashara zao, kila kitu kinaonekan kipo sawa...
4 Reactions
6 Replies
263 Views
Habari za usiku wakuu bila shaka, mupo salama. Leo imekuwa siku mbaya sana kwangu baada ya kupokea taarifa za kifo cha rafiki yangu, gERVASS maarufu kama Baraka. Alikuwa anaishi maeneo ya Malamba...
37 Reactions
193 Replies
4K Views
Kuna riwaya za kale kabisa (hasa katika Sirah ya Ibn Ishaq, ambayo ndiyo wasifu wa kwanza wa Mtume Muhammad (s.a.w)) zinazoonyesha kuwa mara ya kwanza alipopokea wahyi, alihisi kana kwamba...
8 Reactions
16 Replies
841 Views
Kama wewe ni mfanyabiashara, una Taasisi au kampuni tengeneza mfumo hili uwe na uhuru wa kifedha(financial freedom) Uhuru wa kifedha , ni hali ambayo pesa zinazalishwa bila uwepo wako, kwa kifupi...
1 Reactions
4 Replies
368 Views
Nimeshindwa kuelewa Wakristu wengi hata baadhi ya madhehebu wamekuwa wakinasibisha Israel kama njia yakwenda kwa Mungu hadi wengine Wameweka Bendera za Israel katika makanisa yao wengine wanatembe...
3 Reactions
10 Replies
287 Views
Wagalatia 5:22–23 “Lakini tunda la Roho ni upendo, furaha, amani, uvumilivu…” Ukitembea njia za Mungu unakuwa na sifa hizi. 1.Upendo, Mungu akiwa anaishi ndani yako unakuwa mtu mwenye upendo...
2 Reactions
4 Replies
339 Views
Just imagining darasa zima wanapata division one (l) is this possible?? Mbona kama kuna walakini Je ni watoto wana-IQ kubwa au ni mitihani imekuwa soft?? 2025 2012
10 Reactions
188 Replies
3K Views
Mwaka flan nlitoka singida nikawa nasafiri kwenda Mkoani Kigoma kwa Bus. ile ni safari ambayo huwa siisahau kutokana na namna ilivyokuwa. siku ya tukio nilipanda bus alfajiri sana. nikiwa nimeka...
7 Reactions
56 Replies
8K Views
Kwanza sijui nani alimpa namba yangu. Nahisi HR aliuza mechi. Okay sawa. Anatuma msg nyingi nyingi na hazipo ki professional kabisa. Tena kwa namna tofauti tofauti, sasa inapelekea tuhisi ni...
2 Reactions
3 Replies
110 Views
Majira ya 9:30 Kadhi mkuu wa Kenya ametangaza kuandama kwa mwezi baada ya kuthibisha kutoka vyanzo mbalimbali nchini humo.
1 Reactions
12 Replies
350 Views
Kuna haya makabila machache yenye jitihada kubwa sana kwenye kusomesha watoto, WACHAGA, WAHAYA, WANYAKYUSA, WAJITA. Hawajali ajira ni chache, watasoma hivyo hivyo wanajua ajira zikitangazwa...
3 Reactions
12 Replies
398 Views
Habarini za usiku huu Ningependa kushare nanyi hii tiba mbadala ya chumvi kwa wale waamini na wenye uhitaji, hii si uchawi ushirikina wala ulozi na wala huhitaji kwenda kwa 'mtaalam' kupoteza pesa...
145 Reactions
1K Replies
507K Views
Habari Tanzania !.. Habari yako EWURA, TRA, TPDC, mko poa !?.. Naomba kuwauliza na nyie wadau; eti naweza kupata kibali cha kuwa muuzaji wa Gesi kwa kutumia mfumo wa usambazaji wa gesi ya...
4 Reactions
27 Replies
997 Views
Anonymous
Hoja ya awali ~ Barabara ya Mbande - Kisewe Stendi eneo la Kituo cha Polisi kuna dimbwi kubwa la maji linasababisha usumbufu
0 Reactions
1 Replies
136 Views
Back
Top Bottom