Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ukiwa Ndumilakuwili mno katika Maslahi halafu ukiwa Fisadi na Dhulumati lazima tu Mapigo ya Moyo yatashtua Mwili.
2 Reactions
6 Replies
158 Views
Mzuka wana jamvi ...? Mpaka Leo najiuliza mwanadamu inakuwaje mpaka unapata ghazabu za kutaka kuua Jamii nzima na kuwafuta mbali kabisa bila kujali mtoto , Mzee , kijana , Mwanamke nk ...
1 Reactions
6 Replies
181 Views
Wananchi wa Jimbo la Ismani mkoani Iringa wameonesha wazi imani yao kwa aliyekuwa mbunge wao kwa miaka kadhaa, William Vangimembe Lukuvi, wakisema kuwa licha ya kuwepo kwa wagombea wengine...
2 Reactions
5 Replies
582 Views
Mbunge mteule wa Isimani (CCM), Mkoa wa Iringa, William Lukuvi amekanusha uvumi ulioenea mitandaoni kuwa aligombea nafasi ya Spika wa Bunge. Lukuvi ametoa kauli hiyo leo Jumanne Novemba 11, 2025...
1 Reactions
1 Replies
310 Views
Kuna jambo nimeliona mara kwa mara katika Stendi ya Daladala ya Mbezi Luis au Mbezi Mwisho, nimekuwa nikilinyamazia kwa muda mrefu nikidhani labda linatokea mara chache, lakini kadri siku...
2 Reactions
1 Replies
247 Views
Kujengwa kanisa la kilokole hapa Mwenge kwenye makazi yawatu mkurugenzi halmashauri kuna kitu, Takukuru, NEMC amkeni Katika hili suala Mwenyekiti wa serekali ya mtaa Mwenge, Mjumbe pamoja na...
6 Reactions
56 Replies
840 Views
Hi everyone, Mara nyingi nimejikuta nikitafakari kuhusu matukio mengi yanayoendelea duniani leo-migogoro ya mahusiano, maamuzi ya ghafla, na hata baadhi ya matokeo mabaya ya kijamii. Nikianza...
1 Reactions
2 Replies
209 Views
Anonymous
1. Usafiri Mafia ni kero tutoka Bara kuja huku. 2. Rushwa zimetawala kila idara toka mlinzi kwenye meli mpaka mkatisha tickets...huko kwingine ndiyo usiseme... 3. Watu wa mafia wamwogope Mungu...
3 Reactions
6 Replies
297 Views
Mama Shikamoo pole na majukumu ya kulipambania Taifa letu Kwa ujumla wake. Sina mengi sana ila nataka kujua kuhusu huyu mdogo wetu,kijana, wetu Maarufu Kwa jina la Anko T. Huyu kijana Kwa muda...
14 Reactions
98 Replies
6K Views
Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Mjini Moshi (MUWSA) imeeleza kuwa katika kipindi cha mwezi Januari hadi Machi mwaka huu, mita za maji 266 zenye thamani ya zaidi ya shilingi Milioni 37.2...
1 Reactions
3 Replies
351 Views
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mahmoud Thabit Kombo (Mb) amewasilisha taarifa ya utekelezaji wa Mpango wa Bajeti wa mwaka 2025/2026 na mpango wa bajeti wa mwaka wa...
1 Reactions
0 Replies
174 Views
Warumi 8:14 “Kwa kuwa wote wanaoongozwa na Roho wa Mungu, hao ndio wana wa Mungu Mungu akiwa ndani ya maisha yako atakupa amani ata kipindi cha changamoto, Mungu ndiye anaweza kukupa amani...
5 Reactions
8 Replies
445 Views
Hello mabibi na mabwana, natumai mko vyedi kabisa. Ikiwa imebaki masaa machache tupindue mwaka napenda kushuru kama ifuatavyo kwa jinsi platform hii ilivokua msaada mkubwa sana kwangu. Kipekee...
48 Reactions
131 Replies
5K Views
Kuna wakati unajiuliza, “Je, kweli hapa nilipo ndipo nilipaswa kuwa?” Nikiwa kijana kwa muda mrefu niliamini kuwa mazingira niliyochagua kuishi yangenipa nafasi ya kukua, kufanikiwa na kufikia...
5 Reactions
6 Replies
158 Views
Je yanafaa kama lishe yenye virutubusho Bora? Na kama hayafai kwanini na inakuwaje yapo sokoni. Nimebeba kuku WA kizungu na WA kienyeji kwakweli naona WA kienyeji anakosa ujazo na uzito alafu ni...
2 Reactions
13 Replies
247 Views
Hii elimu siwezi kuitoa public kwasababu serikali ya Tanzania kupitia Benki kuu ya Tanzania haitambua na inazuia watanzania kuelewa na kujihusisha na masuala yote yanayohusiana na Crpto...
14 Reactions
76 Replies
1K Views
Kuanzishwa kwa uundaji na ukarabati wa vichwa vya treni za MGR (Meter Gauge Railway) nchini ni hatua kubwa kwa maendeleo ya Shirika la Reli Tanzania (TRC) na Taifa kwa ujumla. Kiteknolojia...
6 Reactions
7 Replies
228 Views
Barabara ya Mwanza Mjini kwenda Kangaye ni mbovu sana magari hayapiti kiasi cha kuleta adha kwa wanaoitumia kwenda mjini, wanalazimika kutumia gharama kubwa ikiwemo kupanda Bodaboda. Tunaomba...
3 Reactions
9 Replies
307 Views
Yupo na watoto watatu na mke anataka kuja Tanzania mshahara ni 400,000 Tsh anaeza ishi wapi Dar kwa mhindi
7 Reactions
90 Replies
1K Views
Back
Top Bottom