Mamlaka husika ishughulikie maana bili ya maji inakuja tunalipa lakini huduma ya maji ni ya kuvizia. Maji yanatoka dakika kumi mpaka tano yanakata.
Na mamlaka husika zinalijua hili, tunaomba...
KANUNI YA CHANZO NA MATOKEO (THE LAW OF CAUSE & EFFECTS)
Ameandika Dr. dogoli kinyamkela 💀☠️
Kanuni hii ndio huitwa 'karma' na Wahindi.
Wakristo huiita "kanuni ya kupanda na
kuvuna"...
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, ameeleza kuwa mwenendo wa shauri la maombi ya marejeo ya mwenendo wa kesi ya mgawanyo wa mali za chama umeendelea kufichua...
Binafsi nina kereka sana na tabia ya trafiki kuzidi barabarani, kuwa kero na kuchukua rushwa kwenye Daladala, unakuta tunatoa hela Makumbusho Stendi Sh 5,000 siku nyingine 2,000.
Kituo cha...
Naomba tuwasilishe changamoto ya Hospital ya Wilaya ya Ubungo kutowaruhusu wagonjwa kuingia na simu wodini (wodi ya wazazi na emergency kwa watoto).
Hii ni hatari sana kwani ni kumnyima mgonjwa...
Nikiwa Mkazi na mtumiaji wa barabara ya Ununio, hasa eneo la Chumvini, naandika hili kwa masikitiko na hofu kubwa. Eneo letu limegeuka kuwa kichaka cha uhalifu kutokana na ukosefu wa taa za...
Ndugu admin, naomba lifikishwe hili kwenye Wizara kama siyo Idara zinazohusika tutatuliwe hii kero.
Serikali imejitutumua kusambaza Nishati ya Umeme huku kwetu Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga...
Hakuna na haitawahi kutokea mkufunzi wa dini ama imani kama Sheikh Hemed Jalala Mwakindenge wa madhehebu matukufu ya Shia nchini Tanzania.
Ana busara, hekima na maarifa. Mahubiri yake yamejaa...
Sarah Agustino Ilomo, mmoja wa watoto wa aliyekuwa mfanyabiashara maarufu wa Iringa, marehemu Mzee Augustino Ilomo, amemuomba Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Kheri James, kuingilia kati mgogoro wa mirathi...
Kadiri dunia inavyosonga mambo mengi yanabadilika sana vitu vingi vilivyokuwa utamaduni wa kawaida zamani kwa sasa vinapungua au kupotea kabisa, hasa hili suala la kumiliki sindano na uzi kwa...
Katika Jiji la Dar es Salaam, ndani ya kipindi cha miaka mitano, kumekuwa na shughuli nyingi za ujenzi wa barabara za mwendokasi (BRT) zinazolenga kuliunganisha jiji. Hatua hiyo inatajwa kuwa ni...
Kwa sasa kuna usumbufu mkubwa sana wa trafiki barabarani ususani maeneo ya mijini, mfano Dar es Salaam.
Sinza Makaburini kuna trafiki wanasimamisha daladala wanaweza kukusimamisha zaidi ya dakika...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, imepitisha Randama ya Mpango na Bajeti ya Matumizi ya Kawaida na Mpango wa Maendeleo kwa mwaka wa fedha 2026/2027 ya Wizara ya Ujenzi hatua inayotajwa...
Kabla ya kuwa na mtoto hakikisha una mikakati na mipango thabiti kifedha kuweza kumhudumia mtoto. Kumbuka mtoto toka anazaliwa unawajibika kwake maishani mwake. Hata ukitangulia kufa atakutumia...
Jaji Chande na tume yako tunataka kusikia haya kwa ufasaha kabisa!..
1. Nani alifadhili machafuko yale? Nani alipokea hela za Open Society kufanya vurugu zile?
2. Nani ndani ya CHADEMA alipanga...
Jana nilikuwa nafanya muamala wa Shilingi Laki 4 kutoka kwenye Akaunti ya simu kwenda kwa mdogo wangu ambaye alikuwa asafiri kutoka Mbeya kuja Dar kwa matibabu.
Kukawa na shida ya Mtandao, fedha...
Mimi ni mhanga pia wa hao Manispaa ya Ubungo, ninaishi Kibamba, mwanzoni mwa Januari 2026 walipita wakikagua Leseni ya Biashara nikawaeleza week inayofuatia nitaenda ofisini, maana ilikuwa ni ya...
Eneo hili Kuna uharibifu mkubwa wa mazingira kwa uchimbaji molamu na kulipua mawe kwa kutumia baruti ambazo zinatoa mlipuko kama bomu.Wakazi wa maeneo haya mwaka jana 2025 walilalamika kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.