Kiongozi wa dini maarufu mtandaoni, @prophet_nicolaus_suguye , hivi karibuni aliandika ujumbe kwenye ukurasa wake wa Instagram akihimiza maombi kwa taifa na mihimili mitatu ya dola, akidai kuona...
Hii dunia ukifanikiwa ukawa na pesa ndo lawama zinaanza mara mjomba huko vijijini analaumu fulani hapigi simu kusalimia hakumbuki watu
Ila ukiwa umechoka huna hela hata usipowapigia simu mwaka...
Moja kwa moja kwenye mada.
Leo ni mapumziko nikaamua kuzurula kwenye akaunti yangu ya ESS(Watumishi Portal).
Kilichonishtua hadi kuandika mada hii ni kitu kinaitwa "Processing Fee" baada ya...
Chuo cha Paradigms institute kilichopo kimara Dar es salaam pale wanaandaa waiting wa hovyo kwenye sector ya afya hasa course ya clinical medicine. Yani wanafunzi wanatajiwa majibu ya mitihani...
Program maalumu inayorekodi mazungumzo ya watu kwenye simu (yaani actual voice/content ya mazungumzo, sio tu metadata kama nani alipiga nani na muda gani) ni tofauti na PRISM na XKeyscore...
Nimepata wazo la kijasiliamali la kuanzisha nchi eneo na watu nipo nao ni mimi tu kupata kibali cha kusajili na kupata seat UN ili nianzishe sarafu yangu na mambo mengine ya kiserikali
Naombeni...
Ssi binadamu hua tunaamini kuwa tunaona na kuielewa dunia kikamilifu kupitia macho, masikio, ngozi, pua na ulimi. Lakini ukweli wa kisayansi unaonyesha sense za binadamu zinaweza kugundua chini...
Nipo Wilaya ya Ubungo Mkoani Dar es Salaam nimedhulumiwa meza yangu na Soko la Mabibo na meneja wa soko hilo akishirikiana na mtumishi mwenzie.
Viongozi hao wamefanya hayo baada ya mimi kuwaaga...
Sisi watu wa rohoni tunaona mengi mno, nadhani wataalam wenzangu wa ulimwengu wa roho mshagundua kuwa hii siyo ishara ya kawaida
Baada ya kuapishwa bunge baada ya uchaguzi kila mwezi laZima...
Kuna hali ambayo imeanza kuonekana ya kawaida, lakini ndani yake kuna maumivu ya kimya. Mnajuana mitaani, mnacheka pamoja, mnafanya biashara au kazi sehemu moja, mnaabudu pamoja kanisani au...
Bibi mwenye umri wa miaka 66 anayefahamika kwa jina Julia Albin mkazi wa Tarafa ya Useri wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro, amedai kuwa amejikuta katika hali ya sintofahamu baada ya eneo lake...
Mimi ni Mkazi wa Mbezi Mwisho, Mitaa mingi haipati maji kwa muda mrefu, hivi utawala wa DAWASA wanajua kuwa kuna Watu wengi tu wana bili za 0 unit kwa miezi zaidi ya mitatu?
Serikali ipo kwenye...
Mimi ni mwanaume Nina miaka 36, nimeoa na tumejaaliwa kuzaa watoto watatu. Mwaka 2020 nilipata changamoto ya kikazi ilinipelekea kuyumba kimaisha, ivyo nikashindwa kulipa kodi, Sasa Kuna mama...
Utapeli unaohusisha uchawi na uganga nchini Tanzania umekuwa ukichukua sura mpya, ambapo matapeli hutumia hofu, imani za kishirikina, na teknolojia kuwaibia wananchi. Kufikia Machi 2026, Jeshi la...
Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kudai kuwa kuna changamoto ya Maafisa Usalama wanaosimama katika geti la kuingia Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kuwasumbua wanaopita hapo hasa Boidaboda na baadhi...
Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) imebaini kuwepo kwa taarifa zisizo sahihi zinazosambazwa mitandaoni kuwa kila mwenye kamera za usalama (CCTV) anatakiwa kujisajili na Tume hiyo.
Kupitia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.