Awali ya yote niwapongeze watanzania kwa busara na uvumilivu wa hali ya juu tulio nao...juzi nilikutana na wazee fulani huko porini wazee hao miongoni mwao waliwahi KUFA kabla mission zao...
Wakazi wa kigamboni tuna changa moto juu ya card za N-CARD, card hizo tumekua tukiweka hela na kuisha tofauti na kiasi ulichoweka, pesa inaenda wapi ?
Na kwanini ukiacha Card kwa muda ukija...
Matumizi ya Artificial Intelligence (AI) yamekuwa yakiongezeka kwa kasi katika kutoa ushauri wa haraka na taarifa za awali kwenye maeneo kama afya, familia, biashara n.k.
AI inaweza kusaidia...
Kuna hali ambayo haizungumzwi sana-ya mtu kuishi bila matarajio yoyote, bila malengo, na bila hata shauku ya kubadilisha maisha yake.
Hii sio tu hali ya kawaida, bali ni ishara ya kupoteza...
Logic ya kawaida: nikihifadhi kitu nimesecure ni changu nikiendelea kufanya hivi zinaongezeka natajirika.
Nature: ili kitu kiendelee kuongezeka lazima kitoe kitu chake kwanza mfano: mti lazima...
Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), inawaomba wananchi walioomba Vitambulisho vya Taifa na hawajavipata, kutembelea tovuti ya Mamlaka www.nida.go.tz ili kufahamu vitambulisho vilivyozalishwa...
Sio kwamba mtu lazima aende kila siku, lakini mara nyingine watu hupitia hotelini, lounge, bar au pub.
Huko, hata kwa kunywa vinywaji vichache tu, hupatikana nafasi nzuri ya kukaa pamoja, kupiga...
Habari wana JF,
Kuna tabia imekuwa ya kawaida siku hizi - mtu anakupangia jinsi ya kutumia pesa zako. Ukihifadhi, unasemwa ni bahili. Ukipanga bajeti, unasemwa huna moyo wa kutoa. Ukikataa...
Sammalize ya Somo laana ya damu
Leo jumapili 9/11/2025
Laana ya damu ni mojawapo ya vifungo vya kiroho vinavyotajwa sana katika maandiko na mafundisho ya imani. Ni hali ambapo kumwagika kwa...
Juzi kati niliona kuna Mdau amelalamika kuwa kuna kampuni imekuwa ikimtumia ujumbe na wakati mwingine kumpigia kwamba wanataka kununua mkopo wake uliosalia kutoka Bosi ya Mikopoy a Wanafunzi wa...
Watu wa Mapokezi ya Wagonjwa katika Hospitali ya Rufaa Mbeya hawana huduma nzuri kabisa kwa Wananchi wanaofika kituoni hapo.
Mfano kuna mtumishi mmoja anaongea na simu muda mwingi bila kujali...
FURSA ADIMU YA UWEKEZAJI – KARATU MJINI
Unatafuta eneo lenye mvuto wa kipekee kwa shughuli za utalii? Hii hapa nafasi ambayo haitokei mara kwa mara.
Eneo lenye ukubwa wa ekari 3.5, lipo katikati...
Ukifanya vitu hivi vitakusaidia sana kwenye maisha yako.
Katika maisha kuna changamoto mbalimbali iwe ya kiuchumi, afya, mahusiano, elimu, n.k hivyo ina hitaji nguvu ya Mungu kuwa nawe ili kuweza...
Nashangaa kuona bado kuna watu Wapo chuo kikuu lakini bado Wana ji-behave kama Wapo secondary.
Tunategemea msomi akitongozwa aamue mwenyewe kwa hiari kukubali/kukataa unless otherwise amebakwa...
Ndugu wanajukwaa,
Kuna jambo lazima lisemwe wazi bila kuficha ukweli: vijana wa Tanzania tumechoka na mifumo isiyo na tija inayotukatisha tamaa kila siku.
1. Ajira Portal – Kivuli cha Matumaini...
Kufuatia kuripotiwa kwa matukio ya kuuawa na kuporwa kwa pikipiki za maafisa usafirishaji (bodaboda) mkoani Tabora, Umoja wa Maafisa hao (UMUTA) mkoani humo umelaani vitendo hivyo huku wakiviomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.