Whitney Houston world tour crashes into UK
Whitney Houston was booed by fans as she played her first live date in the UK in over a decade.
The US pop superstar belatedly kicked off the...
Kuna kawimbo nimekasikia hivi karibuni kanaimba kuwa kana dabo laini - eti voda anapiga akichoka na tiGO anapiga.
Haka kawimbo huku uswazi kamekaa kimatusi sana na sikapendi haka wimbo kabisa...
leo nimesikia wimbo mmoja wa msanii wa hapa bongo ametumia instrumental ya j martin na yeye melody yake ni ileile aliyotumia j martins yaani kama alivyokuwa akifanya Saleh Jabir. mi naona ni kazi...
Hedo Turkoglu(notes) has been a bit of a disappointment to Raptor fans this season. And by "a bit" I mean "colossally huge," of course. A five-year, $53 million contract and not a lot of...
Hiki kipindi nimekisikia kwa mara ya kwanza nilivyokua Bongo kwa likizo mwezi Desemba. Kilinikuna sana moyo
Wale wadada watatu Regina Mwalekwa na wenzake, ni mahiri sana katika kukiendesha...
Habari wana jf,
Nimeona siyo mbaya nikiwakumbusha enzi hizo.
Gonga hapo chini uone.
Enjoy.
YouTube- Lord Kitchener - SUGAR BUM BUM
Msisahau senksi basi jamani.
Kama kuna mtu mwenye kuhitaji magazeti ya Tintin (soft copies), mimi ninayo yote, nimejitahidi kuyaweka hapa kwa kutumia zip bado file zimekataa... kwa kila mwenye kuyahitaji anaweza kuni PM.
Well.. kuna michezo mbalimbali ya utoto ambayo ilikuwa ni burudani, vituko na wakati fulani ilizaa urafiki wa kudumu sana. Michezo ambayo watoto wetu leo hii wanaweza kuona kuwa haina maana tena...
Anaitwa Khalid Ramadhan tunda ukipenda muite tunda man ni kichwa kinachosumbua kwenye anga za bongo flavor.Kwa wanaomkubuka feruzi na nyimbo zake za malalamiko zilivyosumbua miaka ya mwanzoni ya...
Jamani naomba kuchukua fursa hii kuwapongeza Channel 5 kwa kuzidi kutuletea ubunifu mbalimbali ambao kwa namna moja au nyingine inatufanya tuburudike,
Hiki kichura ambacho mara nyingi huonyeshwa...
Chaguo langu leo kwa wadau ni
1.
MPOTO feat BANANA nikipata nauli
2.
Tinchy Stryder Ft Amelle Berrabah - Never Leave You
3
Knock You Down Keri Hilson Feat. Ne-Yo & Kanye West
4
Tinchy Stryder...
Ningependa wapenzi wenzangu wa novels mnipe recommendation zenu za vitabu gani ni `must read`, manake vitabu kununua kidogo ni ghali kwa hiyo kununua kwa kubahatisha tu huwa kunachosha..
sibagui...
Students EP tops iTunes hip-hop charts first week out
NEW YORK - The name "Sam Adams" mainly has been associated with several American historical figures and a popular Boston beer until...