MGANDA ATOLEWA BBA 2010 KWA KUPlGANA. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MGANDA ATOLEWA BBA 2010 KWA KUPlGANA.

Discussion in 'Entertainment' started by Bujibuji, Sep 17, 2010.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Sep 17, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 29,530
  Likes Received: 9,939
  Trophy Points: 280
  Hanington kafukuzwa ndani ya jumba kwa kumpiga lerato.
  Hii imetokea muda mfupi tu uliopita.
   
 2. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #2
  Sep 17, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,271
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  BBA uchwara mtupu. kama watu wasingepiga kelele aingetolewa huyu.
   
 3. M

  Mundu JF-Expert Member

  #3
  Sep 17, 2010
  Joined: Sep 26, 2008
  Messages: 2,719
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  ...ame dizevu kutoka
   
 4. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #4
  Sep 17, 2010
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 12,297
  Likes Received: 587
  Trophy Points: 280
  Hii kitu watu wenye akili zao hawawezi kuifuatilia. What value does it add?? Kuoga uchi kwenye luninga? I don't understand!!
   
 5. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #5
  Sep 17, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,982
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  Najua source imetoka Jahazi ya Clouds FM
  Hahahahaha kesho unageuka na kuanza ku:smash:
   
 6. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #6
  Sep 17, 2010
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,105
  Likes Received: 523
  Trophy Points: 280
  Aiseeeeeeee!!!
   
 7. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #7
  Sep 17, 2010
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,094
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  pole

  ndio maisha
   
 8. senator

  senator JF-Expert Member

  #8
  Sep 17, 2010
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 1,927
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
   
 9. senator

  senator JF-Expert Member

  #9
  Sep 17, 2010
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 1,927
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Mods Unganisha hizi threads kwa Keil ziwe kwenye mchakato mmoja wa BBA.
   
 10. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #10
  Sep 17, 2010
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 10,355
  Likes Received: 1,303
  Trophy Points: 280
  hili shindano upuuzi mtupu? na halina maadili
   
 11. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #11
  Sep 17, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 11,311
  Likes Received: 670
  Trophy Points: 280
  Jamani nadhani mjengoni kunakuwa na stress sana ndo maana hawa jamaa wanakorofishana mara kwa mara!
   
 12. senator

  senator JF-Expert Member

  #12
  Sep 18, 2010
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 1,927
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Huwa nawashangaa sana watu wenye kauli kama zako...hvi kama hujapendezwa na BBA na mapenzi yako kwenye ze comedy au futuhi au episode zingine kwako zinaoonekana kuwa na maadili..hulazimishwi kuangalia..BTW package ya BBA ipo kwenye premium so kama huitaji hulazimishwi kuliipia.Najua mapenzi ya njiwa yapo kwenye mipasho ya mzee yusuph na watu tunatofautiana sana utashi wa kupenda vitu.
  Kama huipendi Ipotezeeeee...wanasema ukifanya biashara ya utumbo usiogope nzi!!
   
 13. senator

  senator JF-Expert Member

  #13
  Sep 18, 2010
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 1,927
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Hulka za watu zipo tofauti ndo maana haya hutokea na watu wengi wanashindwa kuzuia rangi zao halisi pale gambe linapochukua nafasi yake..hapo ndo rangi halisi ya mshiriki huonekana..Mifano hai imeonekana kwa K1...yacob etc nahisi Lera alikuwa kwenye siku mbaya ndo mana akawa mkali na matusi kumtoka pasipo breki mdomoni
   
 14. 3D.

  3D. JF-Expert Member

  #14
  Sep 18, 2010
  Joined: Sep 7, 2010
  Messages: 1,022
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Acha tu. Siku hizi ukisema unaonekana umepitwa na wakati. Mi nadhani.... I'm sorry.... Kizazi cha sasa, Africa na Tanzania hata kama Big Bro iko Ulaya, kimejawa na ujinga wa kupindukia. Big Bro haina chochote inachoongeza kwa mtu achilia mbali burudani yenyewe. Vitoto siku hizi vinapenda mambo ya akili kidogo, chipsi kuku!!! taabu tupu. Sasa BBA ina kitu gani cha maana. Ah, hata nikishambuliwa hapa sijibu hoja maana ndo kupoteza muda kwenye mambo ya kijinga.
   
 15. senator

  senator JF-Expert Member

  #15
  Sep 18, 2010
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 1,927
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  May b u r watching things in three blind dimensions.Hujalazimishwa kuchangia huku kuna thread nyingi sana kama una mapenzi nathread yako ya Quaran anzisha tu mods wataweka sehemu maalum ya mambo ya dini.Usiingie choo cha wanaume wakati huna uume
   
Loading...