Miss World | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Miss World

Discussion in 'Entertainment' started by urassa, Oct 4, 2010.

 1. u

  urassa Member

  #1
  Oct 4, 2010
  Joined: Feb 13, 2009
  Messages: 68
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi hawa majaji wa Miss Tanzania wapo ambao waliwahi kushiriki/kuhudhuria Miss World,? hii itawasaidia wakati wanajaji Miss Tanazania kwani watakuwa wanafocus namna ya kumpeleka miss world
   
 2. M

  Mwikimbi JF-Expert Member

  #2
  Oct 4, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,745
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  wewe na wewe nini? unataka kutuletea mambo ya miss world hapa, wakati tuko kwenye mr. tanznaia, ameweka mabango nchi nzima na kutabasamu kama vile mwali?
   
 3. Lady N

  Lady N JF-Expert Member

  #3
  Oct 4, 2010
  Joined: Nov 1, 2009
  Messages: 1,919
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  2b frank he is so handsome, ila mambo yake ndo yanaboa sana
   
 4. J

  Jafar JF-Expert Member

  #4
  Oct 4, 2010
  Joined: Nov 3, 2006
  Messages: 1,138
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  What has this to do with "Jukwaa la Siasa"???????????????

  Abeg abeg - mod do the necessary
   
 5. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #5
  Oct 4, 2010
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  wanakusudia slaa na yule ....

  ni siasa hii
   
 6. D

  Dick JF-Expert Member

  #6
  Oct 4, 2010
  Joined: Feb 10, 2010
  Messages: 477
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Halafu wakizingatia ushauri wako wewe watakula wapi hao wanaojaji kwa sasa? we vipi?
   
 7. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #7
  Oct 4, 2010
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  ACTUALLY...SIJAPATA KUONA WALA KUSIKIA SIASA YA NAMNA HII!! Au hujasoma heading ya post za humu mzee?? hili ni JUKWAA LA SIASA...NOT JUKWAA LA UREMBO!!iiishh!
   
 8. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #8
  Oct 4, 2010
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Jamani mmetembelea website ya Miss World na kuona vifaa vya mwaka huu? tutatoka kweli na huyu Genevieve wetu? acha hao wengine angalia vifaa vya Africa pekee na kujiuliza kama tunafaa kushika namba ya juu hata kwa hao waafrica wenzetu.
   
 9. D

  Diana-DaboDiff JF-Expert Member

  #9
  Oct 4, 2010
  Joined: Jul 13, 2009
  Messages: 380
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nimeangalia Miss World sijui mwaka huu kama tutafika 50 bora.
   
 10. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #10
  Oct 6, 2010
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kifaa cha Zimbabwe na Ivory Coast mumeviona.
   
Loading...