BSS wapi mzungu?

Preta

JF-Expert Member
Nov 28, 2009
24,323
18,793
jamani nimekuwa nikitizama bongo star search siku hii ya leo nikitumaini kumuona yule mzungu....lakini katika top 20 hayupo na alionyesha kuwa yeye ni mkali....kwa anayejua mzungu yuko wapi anijulishe tafadhali......nimependa washiriki walivyovyaa lakini tatizo lipo kwa washiriki wa kiume....hivi wamelazimishwa kuvaa mashati ya mikono mirefu?....na pia nywele zinaonekana kumsumbua madam....vipi alilazimishwa kusuka hizo?.....:spider:
 
kala kona huyo
 
Preta kweli madam anaonekana kusumbuliwa sana na nywele kiasi kwamba imeathiri presentation yake,nadhani watu walibaki wanaangalia nywele badala ya kusikiliza anachokisema
 
mimi mwenyewe nilibaki nikimshangaa na hiyo si mara ya kwanza kufanya hivyo.....madam bana
 
Kuna dogo jana nilimmaind, anatukana ovyo. Kama kuna kura za kupiga atoke mi napiga mara zaidi ya 40 atoke kabisa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom