Vunja mifupa ngali meno bado iko... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vunja mifupa ngali meno bado iko...

Discussion in 'Entertainment' started by Mzee Mwanakijiji, Sep 15, 2010.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Sep 15, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,076
  Likes Received: 5,239
  Trophy Points: 280
  SIKILIZA HAPA

  Fikiria uko kilabuni tena kile cha mataputapu au cha karibu na duka la fulani..
   
 2. k

  kasimba123 JF-Expert Member

  #2
  Sep 15, 2010
  Joined: Apr 18, 2010
  Messages: 1,265
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  nilikuwa nautafuta sana huu wimbo
   
 3. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #3
  Sep 15, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,125
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Huwa naburudika sana na huu wimbo. Asante sana mwanakijiji
   
 4. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #4
  Sep 16, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 70,440
  Likes Received: 28,277
  Trophy Points: 280
  Dah....ebana huu wimbo umenikumbusha enzi hizo pale Mwenge karibu na kambi ya jeshi ya ujenzi....kulikuwaga na mgahawa/baa/klabu moja hivi ilikuwa inaitwa Tarakea....walikuwaga wanapika mtori wa nguvu....halafu walikuwaga wanauza na chibuku (hivi hii nayo inahesabika kama pombe ya kienyeji? lol)....yaani nikikumbuka enzi hizo hadi machozi yananilengalenga aiseee

  Nimekunywa sana chibuku (tulikuwa tunanywea mavikombe flani hivi makubwa) pale huku wimbo huu ukidunda kwenye maspika...
   
Loading...