Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Warembo waliofanikiwa kuingia Fainali ya Taifa ya Mashindano ya Urembo ya VODACOM MISS TANZANIA 2010, waingia kambini katika hatua ya mwisho ya kinyang’anyiro cha kumsaka mrithi wa MRIAM...
0 Reactions
40 Replies
18K Views
DOWNLOAD: NOTE: All links interchangeable (you can download part1 from RS and part2 from HF at the same time): http://hotfile.com/dl/40946273/f984404/EOD.2010.720p.550MB.ShAaNiG.part1.rar...
0 Reactions
3 Replies
459 Views
Alichelewa kufika, Alishindwa kutumia mitambo kitu kilichomgarimu muda zaidi wa yeye kuelekezwa/mixing,na show kuchelewa kuanza na kubore washiriki/bb all stars Alifunika pale alipocheza...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Jamani, nimekuwa nikitumia JF kujikumbusha nyimbo kadhaa za taarabu, Gospel, Bongo Flava nk. Lakini naona mmeitoa, kulikoni tena? Nauliza maana mwenzenu hapa JF nikama nyumbani vile. Nikiwa huku...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Enzi hizo Redio ni Moja tu RTD ya ukweli. Sasa basi ilikuwa raha kusikiliza mpira halafu mshinde. Na inayofuata hapa sasa ni nukuu ya kipande cha mwisho cha matangazo ya mpira wa Miguu kati ya...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Toka asubuhi clouds FM sound balance haiko sawa. Yani speaker moja ya kushoto ina sauti kubwa kuliko nyingine. Nimegundua tatizo sio redio yangu sababu stations nyingine zote zimebalance...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hapa watu tulisamehe kula na wengine wetu tuliachwa safarini...................I miss these days bana!
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nilikuwa natazama tv ya wafaransa mara mtangazaji akasema sasa nitamu intavyuu mwanamuziki ambae amepewa title ya "the father of world music"... Nikasubiri kwa hamu kumuona mwanamuziki huyo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hapa najaribu kuchambua kinachokosekana na kile tunachozani kinakosekana kwenye filamu zetu! Uchambuzi wangu ni mawazo binafsi kwavile mimi si mtaalamu katika tasnia husika ingawaje nina uzoefu...
0 Reactions
18 Replies
7K Views
Sio umezoea cribs za kina Beyonce, Fat Joe, Redman etc check hii ya selebu wa Kenya... makeHistory2010.com & Misterseed.com - Omondi Crib
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa wale wapenzi wa muziki mbalimbali kama mimi, unaweza kwenda https://www.spotify.com/fi/open-user/na kusikiliza muziki wa kila aina. Spotify inapatikana kama upo: Finland France Norway...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Natafuta: 1. Mayaula Mayoni- Mbongo 2. Oliver Ngoma- Bane 3 Victoria Eleyson 4. Tshala Muana- Ntambue 5. Wenge Musica BCBG Nitaongezea zaidi baadaye...
0 Reactions
32 Replies
6K Views
Leo nimeona watoto street wakipita kupiga vile vingoma vya daku ikanikumbusa long time uswazi tulivipiga kinoma. Nimekumbuka baadhi ya mistari ya enzi hizo......embu cheki....; Scania, wani wani...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Msaada jamani wana JF mwenye CD yake naomba anipatie
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Japo Kim sio Beyonce siku hizi, lakini blogu za Kikenya hazijasita kuwajia juu ma promoter wao kwa kushindwa kuwaletea wasanii kama wa Tanzania wanavyosababisha. Lil’ Kim to Rock Tanzania...
0 Reactions
34 Replies
7K Views
Nyimbo hizi huwa zinanipeleka mbali sana....:) Haya kazi kwenu weekend ndiyo imeanza, kivumbi na jasho mnywe, mcheze kwa furaha...life is too short you need to have good times too...:)
0 Reactions
133 Replies
20K Views
YouTube - ‪Joti - Jibwa Koko (BONGO STAR LINK - www.djchoka.blogspot.com)‬‎ TEH TEH HUYU DOGO HAJATULIA KABISAAA
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mixtape maarufu hapa nchini inayokwenda kwa jina la AntiVirus yenye nyimbo zaidi ya nane zilizoimbwa na wasanii mbalimbali wanaojipambanua kama wapambanaji dhidi ya wizi wa kazi za wanamuziki wa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Zamani zetu zile Mwalimu akiingia darasani tulikuwa tunainuka na kusema Heshima na utii, tukiwa shuleni na nyumbani Shikaaaaamooooooooo Mwaliiiiiiiiiim huku dole gumba likiwa kwenye paji la uso...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Wakuu habari Naomba wenye link za online radio aswa zenye kupiga miziki yenye asili ya kiafrika wa-post link zake hapa. Nimekuwa nikisikiliza radio moja "http://www.soukousradio.com/" inapiga...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom