fimbombaya
Member
- Apr 11, 2011
- 47
- 12
jamani kuna mtu mwingine ameibukia maeneo ya mbagala kimbugi na kudai ameoteshwa ili aweze kutibu magonjwa sugu ikiwemo ukimwi.tiba hii imekuwa tofauti na ile ya loliondo kwa kuwa ghalama yake ni sh.100 na hutolewa kwa watoto na watu wazima.habari za kina kutoka kwa majirani wa mtu huyu ni kwamba alikowa bangi m2 na alikuwa konda wa daladala.pia ye anadai ni zaidi ya babu mbagala. na watu wameanza kunywa dozi.