Tembe na tembe

kakuruvi

JF-Expert Member
Sep 2, 2009
770
256
Nilipita kununua DVD ya muziki jana jioni lakini iliyonivutia si nyingine ni ya Kijana wa zamani Mzee Bozi Boziana ambayo pamoja na nyingine ina wimbo unaokwenda kwa jina la ''Tembe na tembe'' si mchezo.

Imenikumbusha awali kidogo 1992 pale Silent Inn Mwenge alipokuja pamoja na wenzake akiwemo mwanadada Scola, pata uhondo bonyeza hapa chini. Ijumaa njema wana JF wote.

"http://www.youtube.com/v/Y-o8z5ErTz4"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom