Criss angle in a mindfreak

Criss angle in a mindfreak

wilbald

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2007
Posts
1,810
Reaction score
1,378
Wakuu naombeni ufunuo kuhusu hili....huyu jamaa anayeitwa CHRISS ANGLE.Huwa simueli elewi kwani mambo yake nayofanya kwenye show zake sijui ni uchawi au ni-graphics.

Criss Angel ∞ Mindfreak
 
Hata mimi huwa simuelewi Mkuu. Huyu jamaa ananiacha hoi. Kwa wenye uelewa mtujuze.
 
Mmmmhhhh
na dhani ni magic tuu..
Kama take mazingaubwe ya PAWA MABULA
shule ya msingi lol
 
Chris Angel ajiita illusionist, yaani anajua vipi kuzifanya magic tricks zake zionekane kama ni uchawi wa kweli lakini everything ni illusion tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom