Mshiriki wa Tanzania BBA hana uzalendo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mshiriki wa Tanzania BBA hana uzalendo

Discussion in 'Entertainment' started by mopaozi, May 16, 2011.

 1. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #1
  May 16, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Jamani hii imenishangaza sana kuona mshiriki wetu Lotus kumpigia kura mshiriki mwenzie frm TZ Bhoke atolewe na kudai kuwa anataka kubaki peke yake ili nchi ibaki na mwakilishi mmoja huu ni ubinafsi ajabu na kukosa uzalendo haikawahi tokea katuwekea historia mbaya kuwa watz hatupendani na wadada wa tz hawapendi!akirudi si tayari bifu hilo na mwenzie sipati picha huko kazini kwao watakavyokuwa wanatimbana!
   
 2. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #2
  May 16, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  hana lolote hakujifunza ktk BBA zilizopita wale wa Nigeria walikuwa wanakingiana kifua.
  anataka ashinde yy hapo ashapoteza kura za watanzania.
   
 3. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #3
  May 16, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Jamani hii imenishangaza sana kuona mshiriki wetu Lotus kumpigia kura mshiriki mwenzie frm TZ Bhoke atolewe na kudai kuwa anataka kubaki peke yake ili nchi ibaki na mwakilishi mmoja huu ni ubinafsi ajabu na kukosa uzalendo haikawahi tokea katuwekea historia mbaya kuwa watz hatupendani na wadada wa tz hawapendi!akirudi si tayari bifu hilo na mwenzie sipati picha huko kazini kwao watakavyokuwa wanatimbana!hivi kweli huyu ni mtanzania manake wenzie wote huwapigia raia wa nchi nyingine kura watoke inawezekana kuna nchi anaiwakilisha huyu si mtanzania!!
   
 4. Bollo Yang

  Bollo Yang JF-Expert Member

  #4
  May 16, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 440
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Yaani Lotus si Mtanzania kabisa, ameniboa vibaya
   
 5. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #5
  May 16, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  Si wako kwenye bifu la kugombea uume huko mjengoni? Ndicho mlichowatuma
   
 6. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #6
  May 17, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,515
  Likes Received: 19,937
  Trophy Points: 280
  hawa waliopeleke mademu wawili mjengoi hawakuchanganya na za kwaao nini?
   
 7. mpenda pombe

  mpenda pombe JF-Expert Member

  #7
  May 17, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 1,188
  Likes Received: 387
  Trophy Points: 180
  Huo ni mchezo jamani.. Mshindi ni mmoja.. Simlaum Bhoke..
   
 8. Criss

  Criss JF-Expert Member

  #8
  May 17, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 825
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Dah!yaani ni siku za mwanzo kabisa wanaliwa mzigo si bora hata wangesubiri x2 karibu hata ya mwishoni hata wakitajana tungejua wanatafuta ushindi sasa hii aisee dah!!!................kweli wanawake akili zao zipo katikati................
   
 9. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #9
  May 17, 2011
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Duh yaani michezo ya kipashkuna na ngono zembe ndio ibebe national interest?..guyz take chill pill kidogo.
   
 10. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #10
  May 17, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Hatari
   
 11. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #11
  May 17, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,390
  Likes Received: 22,272
  Trophy Points: 280
  Mitanzania mingine kweli hamnazo!!!!!!
   
 12. Pepombili

  Pepombili JF-Expert Member

  #12
  May 17, 2011
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 439
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Tuache kujadili mambo ya kipuuzi BBA ina faida gani zaidi ya upuuzi na upumbavu na aibu kwa jamii zetu kwa kuiga matapishi tujadilini mambo ya maana
   
 13. m

  mnzava's New Member

  #13
  May 17, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Lotus ni m'baya wa sura hivo hata moyo wake ni M'baya I don't think she is even a Tanzanian. Course Tanzanian woman is well behaved. Lotus is just a bad specie. What a shame tunamngoja atarudi atatukuta. Thanks
   
 14. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #14
  May 17, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Mbona sioni kosa lolote? Its part of game
   
 15. Y

  Yakuonea JF-Expert Member

  #15
  May 17, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 601
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  haya bana hata mambo ya kipuuzi nayo yana uzalendo ? sasa uwakilishi wao una faida na uzalendo gani kwa Tanzania kama nchi,Tanzania kama nchi tunafaidika nini na uwepo na matendo yao ndani ya BBA, au labda sielewi maana ya uzalendo.....
   
 16. Silvano

  Silvano Member

  #16
  May 17, 2011
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  ni ubinafsi na kukosa uzalendo kwa nchi. Watanzania tupendane jamani
   
 17. s

  shosti JF-Expert Member

  #17
  May 17, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  mhh hebu rekebisha hiyo bwana haijakaa vyema
   
 18. Belo

  Belo JF-Expert Member

  #18
  May 17, 2011
  Joined: Jun 11, 2007
  Messages: 11,281
  Likes Received: 4,286
  Trophy Points: 280
  Wanawake hawapendani
   
 19. KIMICHIO

  KIMICHIO JF-Expert Member

  #19
  May 17, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 1,184
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Naunga mkono hoja moja kwa moja hasa ukizingatia wanachogombea ndo kabisaaaaaaaaaa!!!!!!!!
   
 20. Ta Kamugisha

  Ta Kamugisha JF-Expert Member

  #20
  May 17, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 3,003
  Likes Received: 1,078
  Trophy Points: 280
  shauri lao
   
Loading...