Askari Kanzu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 4,598
- 1,233
Tarehe 11 May 2011 ni miaka thelathini tangu Bob Marley afariki. Wengi wanakubaliana kwamba bila ya Bob Marley muziki wa reggae usingefika ulipofika leo hii. Nakumbuka siku ya kifo cha Bob kama ilikuwa leo hivi (na tulizichoma sana siku hiyo).
Si vibaya tukikumbushana!
Si vibaya tukikumbushana!
Last edited by a moderator: