Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Nikikaa mi hii ndio top 3 yangu sijui wewe mdau! 1. Yondo sister Yondo Sister - Mbutumutu | Muziki.net 2.Sokous star Sokous Star - Sophia | Muziki.net 3.Pepe Kale Pepe Kalle - Gerant | Muziki.net
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Kwa mujibu wa Hashimu Lundenga mwakilishi wa miss tzz anategemea kutafutwa jumamosi hii wakati bado mashindano ya vitongoji yanaendelea...anasema tayari amepata warembo kumi (10) ambao walishawahi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kipindi Nyiboma anatamba kwa redio zote Tanzania na Maya maya maya maya mo Nyiboma - Maya | Muziki.net
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakati hashim Dogo anavuma na hii ngoma (shadow of the dark destiny) ulikuwa wapi Mdau mwenzangu?.Wagumu,Mabitoz na Masistaduu wa kipindi kile Bongo Flavour inaitwa mziki wa Ku-Rap......
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Heshima kwenu brothers and sisters, Naomba msaada wa jina na link ambayo naweza nikapata wimbo huu wa kiafrica, unaotumiwa sana na dstv katika matangazo yao hasa ya proud to be africans...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
The world's oldest female bodybuilder wakes up every day at 02:30 to fit in a 10 mile (16km) run before hitting the gym. But 75-year-old Ernestine Shepherd insists that "age is nothing...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nimeupenda sana wimbo huu uliotumika kwenye tangazo hili la Coca-Cola na nikathubutu kuutumia kama ringtone ya simu yangu, kwenye kuGoogle kwangu kuhusiana na hili tangazo, kuna watu wanalalamika...
3 Reactions
21 Replies
6K Views
Roho inaniuma nikivifikiria vifo mfurulizo vya wanamisic nguli waimbaji wa MSONDO MUSIC BAND. hasa TX MOSHI WILLIAM, toka msiba wa mwanamusiki huyu siisikii tena band...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Hi JF Members, mi napenda sana animation movies, naomba tuziweke hapa kama ikitokea mtu ajaicheki afanye mapango atafute... mm top five yangu nikama ifuatavyo.. 1. Rango 2.Ice. age 1,2,3,4 3...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Full Reggae & Dancehall Riddimz. To visit click the link below.... HighGrade Sounds. You are welcome.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wakuu,naomba msaada wa magemu ya computer kama fifa,racing,mission,action n.k,nina external hard disk ya 500gb,na nitakufuata popote ulipo dar es salaam,natanguliza asante
0 Reactions
7 Replies
10K Views
Kwaya ya Ulyankulu barabara ya 13 Tabora ilikuwa kwaya ilivuma na kushika chati za nyimbo za injili na ninakumbuka wazazi wangu walikuwa wapenzi wakubwa na tuangalie video yao kali ingawa...
0 Reactions
6 Replies
19K Views
This is real: kuna sehemu ipo china ambayo inapingana na Laws za Physics. Yaani ukiwa unapanda juu ya mlima(Magic Slope) kutumia baiskeli , BAISKELI INAPANDA YENYEWE BILA HATA KUPIGA PEDAL. Na...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau habari za jmosi. Natumai kuna wapenzi wa kuangalia tamthilia za kizungu humu jamvini, mi'ningependa kujua zile zilizo zaidi japo nizitafute, nilikua nafuatilia the legend of the seeker...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kama ulikuwa ndani ya Dar Live utakubaliana nami hapo juu kuwa jamaa,huenda aliyekuwa amempiga 'misumari' kaamua kuachia. Jamaa kafanya bonge 1 la shoo. Pipo hatukuamini,kivumbi sasa...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Ule mchezo wa maisha plus umeishia wapi?? Ulikuwa na mvuto kiaina kuliko huu wa BBA ambao hauna maadili. Kipanya na timu yake vipi??
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Mazee yani we yaani,huku ni zaidi ya burudani,kuna muda umeme ulikatika ukumbi mzima watu PIPOOOZ POWER!!!!!!!!! na kweli power ikarudi,mambo yanaendelea kama hatuko mbagala vile,PIIIIPOZ!!
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…