the name of this song used by multichoice adverts | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

the name of this song used by multichoice adverts

Discussion in 'Entertainment' started by MKATA KIU, Jun 11, 2012.

 1. MKATA KIU

  MKATA KIU JF-Expert Member

  #1
  Jun 11, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,167
  Likes Received: 966
  Trophy Points: 280
  Heshima kwenu brothers and sisters,

  Naomba msaada wa jina na link ambayo naweza nikapata wimbo huu wa kiafrica, unaotumiwa sana na dstv katika matangazo yao hasa ya proud to be africans, ulioimbwa nahisi na a singer from angola with a chorous like "africa hee, africa haa"

  Pia wakati wa african cup of nations ulikuwa unatumika tena katika matangazo ya afcon 2012 ya dstv, its like a rumba song and real need it,,,,

  nitashukuru sana nikipata jina lake kamili la wimbo na mwimbaji so that I can find on internet, jamaa ameimba kireno but its real touch me hasa nikiona tangazo la proud to be african as wanapiga karibu verse zote...
   
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  Jun 11, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  sio huu wimbo wa Salif Keita 'Africa'....?
   
 3. MKATA KIU

  MKATA KIU JF-Expert Member

  #3
  Jun 11, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,167
  Likes Received: 966
  Trophy Points: 280
  Thanx sister preta, its the one,,, yaelekea sister kwa rumba haupo nyuma,,,, I real like this song
   
 4. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #4
  Jun 11, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  karibu.....namkubali sana Salif Keita.....na ana historia nzuri sana....mfuatilie......
   
 5. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #5
  Jun 11, 2012
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,807
  Likes Received: 2,581
  Trophy Points: 280
  Sikza pia wimbo wa Steve kekana- all i need is right here in africa(1980). Coca cola advertisement song hivi sasa.
   
 6. MKATA KIU

  MKATA KIU JF-Expert Member

  #6
  Jun 11, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,167
  Likes Received: 966
  Trophy Points: 280
  Kaka huo ninao ni bonge la songi,, nowdays sijui ndo umri umenibadilisha maana toka nimefika 25 nimebadilika sana kwenye music, swaga za kina jay z na 50 zimeanza kunipotea,,, nasikiliza sana african songs, in my car nikimpa mtu lifti anakuwa excited na kila nyimbo itayolia, hiyo ya coca imerudiwa na nucho wa msumbiji and original yake ndo hiyo ya kekana, kuna watu nigeria wana songs kali sana, as overkillings by djnee, who born the maga by wande cool, gifted and proud by tolu odukenya after loosing her mother, african songs zinagusa sana hisia as african problems and life style are almost the same.

  Africans we are so rich in terms of music, wasanii wetu wa kibongo wana copy and paste sababu songs za kiafrica zinapigwa vyombo unasikia as guitars, piano, drums and rumba huku vocals inatoka original bila kurembwa studio,,,, napendaga sana kuchek channel o as ndo nyimbo nyingi kali nazijulia huko
   
Loading...