Jotojiwe
JF-Expert Member
- Mar 24, 2012
- 335
- 130
Wadau habari za jmosi.
Natumai kuna wapenzi wa kuangalia tamthilia za kizungu humu jamvini, mi'ningependa kujua zile zilizo zaidi japo nizitafute, nilikua nafuatilia the legend of the seeker nikaishia season 3 na sijui kama zimeshatoka nyingine. Naomba mniupdate tafadhali.
Shukran wakuu