Jamani Lucas Mkenda a.k.a Mr Nice karudi tena kwa kishindo.

Tugutuke

JF-Expert Member
Apr 21, 2011
501
165
Kama ulikuwa ndani ya Dar Live utakubaliana nami hapo juu kuwa jamaa,huenda aliyekuwa amempiga 'misumari' kaamua kuachia. Jamaa kafanya bonge 1 la shoo. Pipo hatukuamini,kivumbi sasa alipotukumbushia enzi za kingasti,rafiki,kikulacho,wawaaa fagilia bongoo,dah! Aliua. Baadae tukasikia 'wee..tabia gani hiyooo..! Honestly watu wanamkubali,afu wakati anapanda jukwaani alikuwa anatia huruma sana,lakini shoo ilipendeza sana. Mauno full kuyanyonga. Jamani Mr Nice is born again. Namkubali sana. Kama kuna mtu alikuwa anambania naomba ashindwe na alegee.
SOURCE: I WAS THERE PAPENDICULARY
 
kuna siku alikuwa anahojiwa citizen tv...alisema hajutii kile kilichotokea..ila amejifunza mambo mengi..akamua kupumzika muziki na hivyo sasa amerudi kwa kishindo kusimamia ile ndoto yake...ana amini wapenzi wake bado wapo...anajitahidi kuwapa mambo moto moto..mepya
 
Ila mpaka leo binafsi sijajua ni nini haswa kilichomfanya apotee. Japo yalisemwa mengi,ila sinaga uhakika!
 
Kama ulikuwa ndani ya Dar Live utakubaliana nami hapo juu kuwa jamaa,huenda aliyekuwa amempiga 'misumari' kaamua kuachia. Jamaa kafanya bonge 1 la shoo. Pipo hatukuamini,kivumbi sasa alipotukumbushia enzi za kingasti,rafiki,kikulacho,wawaaa fagilia bongoo,dah! Aliua. Baadae tukasikia 'wee..tabia gani hiyooo..! Honestly watu wanamkubali,afu wakati anapanda jukwaani alikuwa anatia huruma sana,lakini shoo ilipendeza sana. Mauno full kuyanyonga. Jamani Mr Nice is born again. Namkubali sana. Kama kuna mtu alikuwa anambania naomba ashindwe na alegee.
SOURCE: I WAS THERE PAPENDICULARY

Nilifikiri kaja na kibao kipya kumbe ni vilevile
 
Jamani mwenzenu hata sielewi hapa.Kwani si nilisikia anataka kuimba nyimbo za injili?Tumuite hapa JF tumuhoji vizuri!
 
kama hemedi,hawezi tena kutamba kama ile nyimbo yake ya usiniache!!!!!

Hemed anaweza kufanya vizuri zaidi ya pale cuz katika music hajafikia peak!.....wanamuziki wa bongo flava ambao walishafikia peak ya hatari na kurudi itakuwa ngumu ni wafuatao!Mr nice,juma nature,dudu baya,man dojo na domo kaya,TID,Q chief!!!!Diamond yupo katika peak ya hatari mpaka sasa ikitokea akapotea ndo umsahau!
 
Back
Top Bottom