Mwakilishi wa Miss Tanzania kutafutwa Jumamosi tarehe 16/06/2012

Igabiro

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
242
27
Kwa mujibu wa Hashimu Lundenga mwakilishi wa miss tzz anategemea kutafutwa jumamosi hii wakati bado mashindano ya vitongoji yanaendelea...anasema tayari amepata warembo kumi (10) ambao walishawahi kushiriki miss tanzania uko nyuma amboa wanategemea kuingia kambini leo tayari kwa maandalizi. Hii inatakona na msindano ya miss world kutegemewa kufanyika mwizi wa saba katikati.

My take

  1. Hawa Warembo kumi wamepatikana kwa kutumia vigezo gani?
  2. Na hawa ambao wanaendelea na miss vitongoji mwisho wao ni kushiriki mashindano gani?
  3. Muda huu siku mbili tatu tunaweza pata mwakilshi wa kweli kushiriki miss world mwezi wa saba?
 
Back
Top Bottom