Bolingo Forum.........anza na kitu hicho

Ta Muganyizi

R I P
Oct 19, 2010
5,361
2,734
Bazee benzangu ambao tuna ka muda karefu hapa duniani kabla........bongo flava haijaja nadhani mnakumbuka jinsi ambavyo bolingo ilitushikaga sana enzi hizo. Sasa ni vizuri kupitia thread hii........tupeane vitu vizuri ili roho zetu zitulie...tujikumbushe zaidi mie nitakuwa nakuja na videos muweze kuona na kusikiliza. Pia nitawadirect software ya kudownload you tube musics na kuziconvert ili tuzisikie kwenye simu zetu , magari nk.

Leo naanza na kitu kinaitwa Liberez cha JB Mpiana kwa kweli utapenda........sikiliza sauti na gitaa yaaani acheni tu.

Jb Mpiana- Liberez (Quel Est Ton Probleme?) - YouTube
 
Mkuu tupo pamoja muzee mwenzangu. Mimi bngo fleva haipo kabisa akili mwangu...! Tupiamo mengimengi makali tu ....1
 
nyie watu wazuri sana, hizi nyimbo zilibamba saana tdna sana weka link za bisalela, matata ya mwasi, tokabola sentiment zote ni tp ok jazz. Kila nyimbo no nzuri ajabu nikitaja zote patajaa hapa. Kuna kavasha wadau, akina mombasa vata, kibao km mwanamburu veve orch hiyo, matoba, mfueni akina nzaya nzadio basi jamani ngoja niongie tu youtube maana hawa watoto wa bongo fuleva hawafaidi chochote
 
jamani mboma mmewasahau kina pepe kalle, madilu, defao, yondo sister, shumita nk.......mkuu ta muganyizi tupia wakongwe hao.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom