Bob marley aenziwa ndago singida | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bob marley aenziwa ndago singida

Discussion in 'Entertainment' started by jogi, Jul 16, 2012.

 1. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #1
  Jul 16, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,799
  Trophy Points: 280
  BABYLON SYSTEM "BOB MARLEY"

  We refuse to be
  What you wanted us to be;
  We are what we are:
  That's the way (way) it's going to be. If you don't know!
  You can't educate I
  For no equal opportunity:
  (Talkin' 'bout my freedom) Talkin' 'bout my freedom,
  People freedom (freedom) and liberty!
  Yeah, we've been trodding on the winepress much too long:
  Rebel, rebel!
  Yes, we've been trodding on the winepress much too long:
  Rebel, rebel!

  Babylon system is the vampire, yea! (vampire)
  Suckin' the children day by day, yeah!
  Me say: de Babylon system is the vampire, falling empire,
  Suckin' the blood of the sufferers, yea-ea-ea-ea-e-ah!
  Building church and university, wo-o-ooh, yeah! -
  Deceiving the people continually, yea-ea!
  Me say them graduatin' thieves and murderers;
  Look out now: they suckin' the blood of the sufferers (sufferers).
  Yea-ea-ea! (sufferers)

  Tell the children the truth;
  Tell the children the truth;
  Tell the children the truth right now!
  Come on and tell the children the truth;
  Tell the children the truth;
  Tell the children the truth;
  Tell the children the truth;
  Come on and tell the children the truth.

  'Cause - 'cause we've been trodding on ya winepress much too long:
  Rebel, rebel!
  And we've been taken for granted much too long:
  Rebel, rebel now!


  (Trodding on the winepress) Trodding on the winepress (rebel):
  got to rebel, y'all (rebel)!
  We've been trodding on the winepress much too long - ye-e-ah! (rebel)
  Yea-e-ah! (rebel) Yeah! Yeah!

  From the very day we left the shores (trodding on the winepress)
  Of our Father's land (rebel),
  We've been trampled on (rebel),
  Oh now! (we've been oppressed, yeah!) Lord, Lord, go to ...

  [*Sleeve notes continue:
  Now we know everything we got to rebel
  Somebody got to pay for the work
  We've done, rebel.]  hizi nyimbo zingine hebu tuzijadili kidogo, hapo kwenye nyekundu, jamaa walikumbuka majigambo ya mwigulu "masters" kumbe ya uuaji!!!!!!

  Waambieni ukweli watoto.
  UNAPOCHANGIA CHAGUA VERSE UITOHOE KIBONGOBONGO.
   
 2. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #2
  Jul 18, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,799
  Trophy Points: 280
  Kumbe bob marley ni vigumu kumuelewa kiasi hiki!!!!!! Aise nilikuwa sijui ukweli huu.
  Nimeujulia jf.
  NO COMENTS!!!!
   
 3. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #3
  Jul 18, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  HII INAJIELEZA KABSAA

  [*Sleeve notes continue:
  Now we know everything we got to rebel
  Somebody got to pay for the work
  We've done, rebel.]
   
 4. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #4
  Jul 18, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,799
  Trophy Points: 280
  mwigulu akisoma anapoambiwa alihitimu kuiba na kuua sijui anajisikiaje.
   
 5. Mziba

  Mziba JF-Expert Member

  #5
  Jul 19, 2012
  Joined: Feb 7, 2010
  Messages: 226
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mkuu, hii post inahusiana na post kuhusu elimu ya juu, ambayo inajaribu kutaka fikra za nini madhumuni ya elimu. Labda ni wakati wa kuangalia kile tulichopanda. https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-elimu-education-forum/289900-madhumuni-ya-elimu-metaphysics.html Sikiliza Jogi, hii tafsiri kwa kibongo sio perfect natumaini nitaeeleweka.


  Babylon system ni Mumiani, ndio! (mumiani)
  Hunyonya damu za watoto kila kukicha, naam!.
  Ninasema, huu mfumo wa Kibabiloni ni wa kiMumiani, na ni Himaya yake anayoporomoka.
  Unawanyonya damu za wanaoteseka
  Unajenga Makanisa (sio kwa ajili ya dini) na Vyuo vikuu (sio kwa ajili ya kuendeleza watu), wooh, naam.
  Unalaghai watu moja kwa moja, yea-ea!
  Nasema huwa unahitimisha wezi na wauwaji
  Kua mwangalifu sasa: Hufyonza damu za wanaoteseka.
  Yea-ea-ea! wanaoteseka
  Babylon system ni Mumiani, ndio! (mumiani)
  Hunyonya damu za watoto kila kukicha, naam!.
  Ninasema, huu mfumo wa Kibabiloni ni wa kiMumiani, na ni Himaya yake anayoporomoka.
  Unawanyonya damu za wanaoteseka
  Unajenga Makanisa (sio kwa ajili ya dini) na Vyuo vikuu (sio kwa ajili ya kuendeleza watu), wooh, naam.
  Unalaghai watu moja kwa moja, yea-ea!
  Nasema huwa unahitimisha wezi na wauwaji
  Kua mwangalifu sasa: Hufyonza damu za wanaoteseka.
  Yea-ea-ea! wanaoteseka
   
 6. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #6
  Jul 19, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,799
  Trophy Points: 280
  Mkuu Mziba,
  nimefurahia tafsiri uliyoifanya, furaha yangu ingekuwa kubwa zaidi kama ungeanzia mwanzo kutafsiri, ambapo bob anasema; "Tunakataa kuwa, mnavyotaka tuwe! Tupo kama tulivyo, na hivyo ndivyo itakavyo kuwa!! kama hamjui Hamtuelimishi kwa fursa sawa, naongelea uhuru wangu, uhuru wa watu na utangamano, mmetuchokonoa kwa muda mrefu, ASINI (kuasi) tunatakiwa kuasi!
  Kwa sababu tumechokonolewa kwa muda mrefu, asini, asini naam tunatakiwa kuasi"
  mfumo wa kibabeli ni mumiani! Mumianiiiiii,
  unanyonya damu za walala hoi, walalahoi!!
  Wanajenga makanisa na vyuo vikuu,
  wanawadanganya watu kwa kwenda mbele!! ooh!
  Wanawahitimu WEZI na WAUAJI!!!! (kina mwigulu nchemba na kina jack zoka)

  waambieni watoto ukweli,
  waambieni watoto ukweli,
  waambieni watoto ukweli bwanaaa!
  waambieni watoto ukweli sasa hivi!!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...