Shaggy chifu wa Wasukuma!!!, ama kweli Wasukuma tumeishiwa.
Jamii yetu imejengwa katika matabaka mbalimbali ambayo nguzo zake kuu ni mila na desturi. Tatizo kubwa ambalo linaikabili jamii yetu...
Wanajamii mnaopatikana moshi na tanga naomba mtoe feedback ya hili tamasha linaloanza leo! Inaonekana kama vile fiesta inapoteza mvuto kwa vijana wa sasa tofauti na mwanzo! Tanga na moshi...
Nakiri kuwa Chege mtoto wa mama side ni msanii mzuri na muziki anaupatia. Kuna wimbo wake nimeufuatilia hadi mwisho nimeshindwa kubaini alikuwa anamaanisha nini. Anasema hivi:
Hili dude bwana...
Stori: Sifael Paula; www.globalpublisherstz.info
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amemuita ikulu mwanamuziki anayefanya vizuri kwa sasa kwenye Bongo Fleva, Nasibu...
wadau hiyo series imenibamba ile mbaya kwanzia season 1 mpaka 7..hivi kuna series nyingine yenye vituko kama hii...kama zipo zishusheni wadau nianze kuzitafuta.. hapo kwenye himym barney stinson...
Wadau naona kipindi kinarushwa live na kuna bendi inatumbuiza kinacho nichanganya bendi inaimba nyimbo za kiingereza wakati hao mabibi wenyewe hawajui hiyo lugha
Samahani waungwana, kuna wimbo fulani niliusikia ktk kituo fulani cha redio skumbuki ni redio gani, unaitwa uchumi umeyumba, sijui ameimba msanii gani lakini amemshirikisha Chege. Niliusikia...
kijana huyu anaitwa KATABAZI, kaimba songi lake ila ugumu uko katika distribution na kupata airtime.. hana meneja, so anaomba msaada wa wadau, either advice, au technical support.. kama unaweza...
Ndugu wanajamii nimekuwa nikijiuliza kwa nini wasanii wengi wamekuwa wakirekodi picha za utupu hasa wanapokuwa wanafanya ngono,nimekuwa nkijiuliza nashindwa,,,mfano tu hapa juz zimeonekana picha...