Bongo star search 2012

The Dude

JF-Expert Member
Sep 14, 2011
1,029
453
Nani atazama hii kitu saivi?Leo wanaonesha auditions za Lindi na Arusha..it is so very much fun and funny too..
 
Na hivi kwann salama ni mwepesi kunotice na kucomment kuhusu u cute wa mtu?
 
jamaa anasema salama hata hajatunga Single moja.
Mm bado namsifu Salama kwani sio kila Jaji alishajaribu kuiba au kuua. Na ndio maana Mmasai kakolea
bado kuna Rais kachagua Mawaziri wakati ni wezi na wamenitahiri wakati hawanipi Ngono
 
Na hivi kwann salama ni mwepesi kunotice na kucomment kuhusu u cute wa mtu?

Labda ni experienced..................... Umeona swaga za mmasai na yule mwenye mjusi?

Ila yule dada mwenye mtoto albino amenitachi kweli.
 
Labda ni experienced..................... Umeona swaga za mmasai na yule mwenye mjusi?

Ila yule dada mwenye mtoto albino amenitachi kweli.

KOKUTONA yule dada mwenye mtoto albino kaimba vizuri sana kiukweli..hata sijanotice mwishoni kama kasail through ama la..nijuze.

Next week ni Mwanza na Mbeya,ngoja tuone itakuwaje.
 
Last edited by a moderator:
KOKUTONA yule dada mwenye mtoto albino kaimba vizuri sana kiukweli..hata sijanotice mwishoni kama kasail through ama la..nijuze.

Next week ni Mwanza na Mbeya,ngoja tuone itakuwaje.

Huwezi amini Mtundu Kisu yule dada wamemtosa. Amelia hadi kaniliza na mimi. Sijui kwa nn wamemwacha, labda sbbu ya mtoto. Sijui kwa nini kwa kweli.
 
Huwezi amini Mtundu Kisu yule dada wamemtosa. Amelia hadi kaniliza na mimi. Sijui kwa nn wamemwacha, labda sbbu ya mtoto. Sijui kwa nini kwa kweli.

Kiukweli yule dada wamem'onea...anajua sana:alien:
 
Kiukweli yule dada wamem'onea...anajua sana:alien:

Umeona ee IrDA, Kale kabinti kalikosema nimetokelezea b4 hajaingia kuimba hakuimba vizuri km yule dada lakini kapita.

Sijui wanatumia vigezo gani.
 
Dah me yule dada nimeumia sana alivyoachwa nkavuta hisia wakati anaimba yule baby alivyokuwa anamuangalia mama yake usoni. Dah yani
 
Salama bingwa wa kusaga. Akiamua kuwaponda vijana anaua kweli kweli. Lakini anachangamsha kipindi. Tatizo lake hataki kwenda shule tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom