Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

I wanna dance with you. I want to lie in your arms and sway to the music. Ooh the mood is so right and the stars so bright. Problem is, who are you? Kaunga, is it you? The Boss, Asprin, Nyani...
3 Reactions
162 Replies
12K Views
Ni katika REDDS MISS TZ 2012,Taji Liundi anampisha WANNE STAR huku akimsifia kwa ngoma na nyimbo zake zenye kutangaza utamaduni wa m-tz.Mara kundi la WANNE STAR linapanda jukwaani na kuanza kupiga...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Wapi naweza pata collection ya Movie zote za James Bond, hii movie ya Skyfall imetangazwa sana mpaka imenipa hamasa ya kutafuta movie zingine za James Bond (za kuanzia miaka hiyo ya 1953 mpaka...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mweusi Joh Makini ameungana na wasanii wengine wa Arusha waliochukizwa na kitendo cha wasanii wa Arusha kutoshirikishwa kwenye sherehe za kulizindua jiji hilo rasmi. Joh ambaye huandika mara...
0 Reactions
22 Replies
6K Views
NAMWONA Taji akitangaza. Hivi huyu jamaa ni ana mkataba kutangaza haya mashindano? kwa kweli anaboa na hayachangamshi. Anaboa, yuko stiff sana, tangu miaka nenda rudi hamna jipya ratiba ni...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Ni mara nyingine tena tunafuraha ya kurusha matangazo ya moja kwa moja ya fainali za Miss Tanzania, 2012. Unaweza kufatilia matangazo yetu kwenye link ifuatayo: Radio Free Africa Tanzania*|*...
4 Reactions
8 Replies
2K Views
movie yoyote nzuri ya comedy na za kutisha,icwe SAW,WRONG TURN,FINAL DESTINATION nshazicheck
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Watch, listen and download over 3,000 African movies, music videos and music from Nigeria, Ghana, Tanzania, Kenya, Uganda and other African countries. The African Social Network, where you can...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Je umewahi kutazama movies hizi? The tears of the sun, Diamonds, Cry in Freetown, Blood Diamond, Hizi, kwa mtazamo wangu zinaeneza fikra mbaya kwa dunia kuwa Waafrika hawawezi kuishi bila ya...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Music unaweza kukuweka kwenye mood wa haya majambozi yetu.This is my TOP 20 Marvin Gaye: Sexual Healing Marvin Gaye: Let's Get It On Barry White: Anything Serge Gainsbourg: Je T'aime Kings of...
7 Reactions
132 Replies
10K Views
Tokea nimeanza kuangalia video za Charlie Chaplin, sijzona anae mkaribia... Ebhana pamoja na kua chache zina audio, na ni zamani sana 1912 hivi.. ila hadi leo ni hot. Wewe unaona yupi bora?
0 Reactions
0 Replies
860 Views
KUNA MOVIE moja inaitwa Game,ya kijasusi,nimeikubali xana
0 Reactions
0 Replies
774 Views
Do you know how others rate our local musician! this is just a piece of justification that there is a light at the end of the tunnel according to the Southafrican Microsoft portal' Joseph Haule...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tuesday, October 23, 2012SIKU KAMA LEO: MANCHESTER CITY ILIVYOIDHALILISHA MAN UNITED OLD TRAFFORD KWA KUITANDIKA 6-1
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kama ilivyokawaida yangu yazungukia mitandao mbalimbali siku ya Jmos,nikakutana na habari hii "Lord Eyez akamatwa kwa kuiba vifaa vya gari ya Ommy dimpoz".Pia kukiwa na tweet ya huyo bwana mdogo...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kila ninapo sikiliza nyimbo hizi huwa nabarikiwa sana kwani zimejaa Upako wa kweli ni nyimbo zilizo tulia hazina vikorombezo vyaku mtoa mtu kwenye uwepo kama tunavyoona miziki mingine mingi ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama ukuhudhuria njoo hapa!! KITCHEN PARTY GALA..BI CHAU - YouTube http://www.youtube.com/watch?NR=1&v=6JUno6CDi9Q&feature=endscreen
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Kijana kweli shujaa ..kasema wazi haoni wa kumtoa wala hakuna ambaye anaugovi naye wala ambaye anatatizo nae kwa hiyo kaamua jitaja mwenye kuwa atoke kuliko kuwa mnafiki..safi
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Nimekutana na hii picha ambapo huyu kijana wa Kizungu yuko anashangaa kuichunguza sanamu iliyochongwa kwa Aluminium ili agundue kama kuna chocgote. Uchunguzi mwingine huwa hauna tija jamani.
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Baada ya wadau kuchangia changia picha hii, nitawaletea story na surprise fulani kwa wadau wa jamii forum. Sana sana kwa wale enzi za miaka ya 1980 mpaka 1990 hivi.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…