Hivi katika hali ya kawaida kabisa huyu jamaa mwana FA anatafuta nini kwa dada yetu Jide? Jide mara ya kwanza show yake alipanga may 31 na mwana FA naye kapanga tarehe hiyo hiyo,waungwana tukasema...
Katika kipindi cha Sun Downer cha Magic FM, mtangazaji huyo amesema kwamba shangwe zilizolipuka mara baada ya Jaydee kutajwa kuwa miongoni mwa wanaowania tuzo ya msanii bora wa kike ktk tuzo za...
Brian Adams.
Brian Mcknight.
Geoge Machael.
Phil Collin.
Kenny Roger.
Kenny G.
Kenny Thomas.
Lion Richie.
Elton John.
Don William.
Enric Eglesias.
Born M.
Abba.
Joe Thomas. King
Robert Kelly...
habari za muda huu wadau juzi nilikuwa sehemu nikasikia ngoma fulani ya kizamani inapigwa niliipenda but nikashindwa kuijua jina tafadharini naomba mnisaidie kaimba nani nimeweza kukumbuka baadhi...
Habari zenu wana jamii.
Ninashida wa wimbo ambao siujui jina lake yeyote mwenye kujua tafazali anisaidie.
Wimbo wenyewe ameimba AY na jamaa simfaham kutoka Uganda.
Verse ya wimbo huo
Binadam sio...
Fezas Confession On Angelo
Its only in the diary room that you get to know how housemates feel, what they think, strategy for the game, whom they like or have a crush on and even who gets on...
Hv dogo ndio kashapotea kwenye game au kuna nini?
Duuu siamini kabisa! au ndio ule ugomvi na mganga wake na mganga ameamua kumwonyesha yeye ni nani?
Au ndio dhambi ya mademu wake inamtafuna...
Kumekuwa na malalamiko mengi sana kutoka kwa wasanii juu ya unyonywaji hasa unaofanywa na Clouds Media na kampuni zake shirikishi kama THT,Smooth Vibe,Prime times Promotion na nyingine nyingi. Hii...
WARAKA NAMBA 1(ZIPO 88) KILA WIKI UTAPATA WARAKA MMOJA
Ni wazi na dhahiri kabisa kesi iliofunguliwa mahakamani dhidi ya Lady JayDee haina maana yoyote isipokuwa ni hofu ya mafisadi wa muziki...
Habari zenu wanajamii?
Kwa muda sasa miaka nenda miaka rudi kumekua na hii reality show inayoitwa Big Brother inayofanyika karibu kila mwaka katika nchi ya South Africa.
Swali ambalo limekua...
Jamani huyu kaka mie ananivutia sana na nyimbo zake. Havumi lakini wamo
Nasikiliza Ya nini malumbano!!
Ya nini malumbano, ya nini maneno
najiweka pembeni naepusha msongamano
Bora nitulie...
kwangu hizi ni moja kati ya movies chache sana ambazo kiukweli ziliwahi nitoa machozi enzi hizo movies za kinaija ndio habari ya mujini.
Je umeshawahi zitazama? kama ni ndio unakumbuka nini...
Novemba 18,2012 iliyopita tulirusha kipindi cha barua kutoka kanda ya Ziwa kuhusu tukio la maziko na harakati za kumuenzi Kardinal Laulian Rugambwa. ambao hawakutazama channel ten siku hiyo...