donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,257
- 22,132
Salam wakuu,
Mimi ni mpenzi mkubwa sana wa nyimbo za kwaito sema mara nyingi hua nazisikia tu mwishoni nashindwa kutambua jina la wimbo au msanii. Naomba kwa wakuu wanaofatilia kwaito basi waweze kuniorodheshea list ya nyimbo mpya za kwaito. Shukrani!