Tamthilia ya my eternal

Tamthilia ya my eternal

Solarpanel

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2012
Posts
235
Reaction score
38
Habarini wakuu,hii tamthilia naifuatilia kwa karibu japo imeanza kuniboa kias flan,inaonyeshwa na star tv,kama kuna mtu anaweza nsaidia pakuipata full yote kwa sasa,au anieleze tu mwisho wa matukio yote haya,maana net hawaelezei episode after episode,asanteni
 
Kuna mtu anaitwa Abdallah Basumbul yupo facebook naona kuna post nyingi za hizo tamthilia za huko Ufilipino nadhani anaweza kukusaidia kupata walau dondoo mbili tatu za kupata mwanga wa swali lako

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom