MahinaVeterani
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 710
- 257
Nimeinasa BBC jioni hii kuwa Mzee wetu MUHDIN MAALIMU NGURUMO (umri Miaka 70+) amestaafu rasmi kazi ya Muziki wa Dansi baada ya kuwemo katika Tasnia hiyo kwa zaidi ya miongo mitano!
Maoni yangu Mzee huyu ni Shujaa wa Taifa, apate "recognition" ya Kitaifa mbali na Nishani aliyotunukiwa miaka kadhaa iliyopita!
Vipi tukipata ka-Mtaa kwa jina "Mtaa wa Muhdin Ngurumo/Muhdin Ngurumo Street" kwenye moja ya miji yetu (hajalishi hata kama ni huku kwetu Meatu) kwa ajili ya kuenzi kazi nzuri na utumishi tukuka wa huyu Mzee wa Msondo Ngoma! Au tusubiri mpaka afariki ndo tushuhudie "unafiki" hapo Leaders Club?
Mapumziko mema Mzee Ngurumo - Many Happy Returns!
Ni mtazamo wangu na mawazo yangu tu!