mwaka wa 8 WA VIFO VYA VIVIAN NA COMPLEX

nguvumali

JF-Expert Member
Sep 3, 2009
4,923
1,325
Leo ni mwaka wa nane (8) tangu tangu Vivian na Complex watutoke.

nawakumbuka sana , maisha yanaamana kubwa Mungu awapumzishe na awape raha ya milele.

1011609_532161860196412_1132366709_n.jpg
 
Aisee umenikumbusha mbali sana hasa kwa marehemu vivian raha ya milele uwaangazie........!!!
 
Leo ni mwaka wa nane (8) tangu tangu Vivian na Complex watutoke.

nawakumbuka sana , maisha yanaamana kubwa Mungu awapumzishe na awape raha ya milele.
Mkuu umenikumbusha mbali sana kama sijakosea walipata ajali mwanza au wanatoka mwanza ila sina hakika...namkumbuka zaidi Complex..the guy was of his own..Mungu awape raha ya milele...wapumzike kwa amani.
 
walifariki kwa ajali ya gari eneo la Mbwewe wakiwa safarini kutoka Morogoro kwenye Fiesta iliyopewa theme ya MOTO ZAIDI wakiwa

wanaelekea Arusha kwenye Anniversary ya ndoa ya miaka 25 ya ndoa ya wazazi wake na Vivian na siku hiyo pia vivian alikua anaenda kumtabulisha Complex kama mchumba wake kwa wazazi wake.
 
Nashukuru kwa kunikumbusha nilishasahau looooooooooooh!!!!!!!!
 
Mama yake Vivian kanifundisha shule ya msingi shule ile ile ambayo baba yake B12 alikuja kuwa mwl mkuu!!!
Naikumbuka sana ngoma ya Complex hakuna hatari!!!
 
Back
Top Bottom