Wimbo huu: "sooma,soma soma soma"

Wimbo huu: "sooma,soma soma soma"

IrDA

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2010
Posts
745
Reaction score
361
Wadau naombeni msaada wa jina kamili la wimbo huu na aliyeuimba.Nimeona video yake hivi karibuni lakini sikubahatika kujua jina la wimbo.
Wimbo una kiitikio "Soma,soma soma...wazuri bado wazaliwa e"
 
Back
Top Bottom