tajirijasiri
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 2,863
- 3,854
Wana jamvi, naombeni msaada wenu wa jinsi ya kuupata wimbo wa taarabu wenye mashairi haya "Uliona ni mtaji kwa milupo ya kutupa ukalivamia jiji kutaka mambo kwa......... Hivyo unavyomuona yeye anakula nami sisi tumependezana yaliyo mengi sisemi mimi...... Hili penzi wala si mzizi fitina Uongo acha fanya yote hata uende kozi, mimi kocha wa makocha" kwa kifupi nimeusahau jina wimbo huu ila nachokumbuka uliimbwa na TOT taarabu mwanzoni mwa miaka ya 2000, kwa mwenye link na wimbo huu naomba msaada hata jina la mwimbaji na title ili niutafute