beth
JF-Expert Member
- Aug 19, 2012
- 3,881
- 6,375
Nataka film iwe ni love story
Andika scene ziandikwe moja moja, yaani ianze ya kwanza, nikichagua nalipa inafata ya pili, nitakayoichagua nailipia then inafata ya nne mpaka mwisho nalipa kwa mpesa tu.
Scene ikipata like nyingi naipa nafasi kubwa zaidi.
Andika script sio story.
Nikikulipa hutakuwa na haki yoyote na story,
Ok tuanze na scene no1.