Umewahi kununua kahaba? Kama jibu ndio basi kuna uwezekano umewahi kufanya mapenzi na wanyama kama mbwa au fisi bila ya wewe kujua! Unashangaaa? Usishangae na wala usibishe. Dunia inamambo ya...
1. TELL NO ONE.
Ni miaka nane sasa imepita tangu dokta Alex alipompoteza mkewe, bi. Margot, kwa kuuawa kifo cha kikatili na kisha mwili wake ukatupwa karibu na makazi yao.
Kwa kipindi chote...
SEHEMU YA KWANZA 1.
(Mimi sio mwandishi mzuri mtaniwia radhi)
Wazazi wangu siwezi kuwaita Masikini ila ni wazazi wenye kipato cha chini. Shughuli zao mpaka Leo ni kilimo na ufugaji wa kawaida...
Nyimbo kuwa na numbers kubwa kwenye majukwaa ya kidigitali means imepewa green light na wasikilizaji yaani imepita (listeners choice).
Kama ilivyo kuwa mtiti kumiliki pesa bilioni moja basi...
Nimeangalia utoaji wa Tuzo hizo, nilichobaini ni kwamba hazikuwa Tuzo kama tunavyoaminishwa, kiukweli ile ilikuwa sherehe ya Get Together ili Marafiki wapongezane
Wala haijulikani hata vigezo...
Hadithi ya Tuzo za Muziki Tanzania (TMA) inazidi kupamba moto, na sasa tumebakiza siku tisa tu hadi wasanii wetu wapate fursa ya kutunukiwa heshima kuu kwa kazi zao za ubunifu. Tuzo hizi hazina...
Watu wengi wamekua wakijiuliza kwa nini siku hizi night clubs zinakufa sana, mfano Maison na nyinginezo hapa Tanzania.
Ukweli ni kwamba night Clubs Dunia nzima zinakufa kwa sababu kizazi Z ambao...
Sababu ziko tofauti..
Mimi
1. Far cry 6
Hili rasmi nmelifuta leo, sikulimaliza bt sikulipenda nahisi game play yake halivutii kabisa. Gb 100
2. Dying light 2; stay human
graphics nzuri ni third...
Binafsi hadi kufikia sasa, naweza kusema Movies mbili kali (Top 2) kuwahi kuona mpaka sasa ni:
• No Escape, movie inayoonesha ukatili uliokuwa ukifanywa na Waarabu dhidi ya Wazungu. Wazungu wengi...
Mwenyezi Mungu awabariki wote walioshiriki kutunga nyimbo hizi za TENZI ZA ROHONI.
Hizi ni baadhi tu ya nyimbo hizo zinazogusa moyo (Heart touching songs)
1.Mungu ni Pendo
2.Usinipite Mwokozi...
Unaweza vipi kutoa kibali kwa msanii wa muziki wa " hip hop " kutoka Marekani kufanya show nchini Saudi Arabia?
Seriously!!!
A guy who talks about shooting other people and utter a lot of...
Simulizi : SALAMU KUTOKA KUZIMU
Mwandishi : BEN R. MTOBWA
Imeletwa kwenu na: BURE SERIES
SEHEMU YA 1
KIFO kaja duniani kwa kazi moja tu. Akikukuta umekwisha... Akikusalimia umekwisha... Hana...
Wanadai Bongo fleva inapeleka mambo machafu Zanzibar.
Moja ya wageni walioudhuria Jukwaa la 13 la Biashara Zanzibar ameshauri Serikali ya Zanzibar kuzuia kupigwa kwa baadhi ya Nyimbo za bongo...
Toka enzi za kale muziki ulikuwepo, upo na utaendelea kuwepo kwa wingi wa nyimbo zilizokuwepo duniani ilibidi kusiwe na melody tena but fun facts nyimbo zinaendelea kutoka zenye melody kali aina...
Hadithi hii nikiikumbuka natokwa na machozi, hadithi ya kweli ilitokea huko mkoani Tanga.
Wakati nikiwa mdogo mwanzoni mwa miaka ya tisini, nilikuwa nikiishi kwa wazazi wangu waliokuwa...
Naona baada ya mafanikio makubwa ya Season 1, wanarudi tena.
Dec 26 ndio episode 1 itaanza na kutakua na jumla ya episode 10.
BTW ni miaka mitatu tokea Season 1 itoke. Tunazeeka aisee.